Modesta Hillary Mchopa.

Ni miaka miwili sasa imepita tangu ututoke tarehe 25, Nov 2008 mama yetu mpendwa.
Bwana ametoa na bwana ametwaa Jina lake litukuzwe.

Mama tunaendelea kuishi mfano mzuri wa maisha yako,
siku zote ulisisitiza upendo kwa watu wote, familia, majirani na ndugu.

Unakumbukwa zaidi na mumu wako Mzee mchopa, watoto Mendrad, Bana, Nova, na wajukuu zako,Hillary, Koku, Tiba, Diana na Fura, pia ndugu, jamaa na marafiki wote.
Mungu aiweke roho yako mahali Peponi upumzike na kustarehe kwa amani, Ameni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...