HABARI ZIMETUFIKIA SASA HIVI KWAMBA GARI YA KUGAWA NYAMA KWENYE MABUCHA ILIYOKUWA INATOKA KIGAMBONI KUELEKEA MJINI UPANDE WA KIGAMBONI JIJINI DAR IMEZAMA KWENYE KIVUKO CHA MAGOGONI MAARUFU KAMA FERI NA IMMELEZWA KUWA MTU MMOJA AMBAYE INASEMEKANA NI DEREVA WAKE AMEKUFA NA MMOJA AMENUSURIKA. MAITI YA MAREHEMU IMESHATOLEWA MAJINI LAKINI GARI BADO LIKO MAJINI. TUNAFUATILIA CHANZO CHA AJALI HII NA TUTAWALETEA PICHA NA HABARI ZAIDI.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...