Home
Unlabelled
puppies for sale
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mwe!mwe!Kamwene!ngoja biashara aione akina majid Mjengwa,watanunuliwa sasa hivi na sikuu ya Noel inakuja
ReplyDeletewewe shayo,unachukua first world thesis na kuforce their application on third world economies-exactly how does a credit driven society survive katika society zetu-demand and supply(markets)zetu will force defaults on an unprecidented scale resulting in the little economy we have being dragged down the drain
ReplyDeleteAngalia matumizi ya lugha za watu, tunajua inawawia vigumu kutamka "r" kwenye "l" lakini jitahidi basi kwenye kuandika! Neno sahihi ilikuwa uandike breed = mzao na sio Bleed = kuvuja damu ( ama kuwa kwenye siku kwa akina dada)
ReplyDeletebei gani..naomba useme mimi nahitaji wawili ...lakini ni pure breed au ni mixed..
ReplyDeleteHicho Kitoweo safi sana huko Iringa. Tena hao wa kizungu!! Mchuzi wao raha kweli!! Hahaha, sema bei sisi tujipatie kitoweo cha Idd!!
ReplyDeleteHongera hii ni hatua kubwa mambo haya yapo kwa wenzetu sana. Haya tutakutafuta kwa namba ulizoweka hapo
ReplyDeleteBro Michuzi, mimi niko hapa dar na nahitaji breed ya rottwailer and/or pitbull for my added security. Kama kuna mtu anauza puppies wa breed hiyo aweke ad yake hapa nitamtafuta.
ReplyDeleteNtaka kujua hii breed inafaa kwa ulinzi au ni kwa mapambo tu!
ReplyDeleteDo u still have the pomerians?
ReplyDelete