Waziri MKuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,Sofia Simba ( kushoto) , Waziri wa Jinsia na Maendeleo ya Wanawake wa Congo, Bibi Saifandasera Sarah baada ya kufungua kikao cha kujadili masuala ya Jinsia kwa nchi za maziwa makuu kilichofnyika kwenye hoteli ya Kibo Palace Mjini Arusha leo. Kulia ni Waziri wa Jinsia na Masuala ya Familia wa Rwanda, Joanne Mujawamaria. Na wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mama Duduma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...