aadhi ya wanafunzi wa Vyuo vikuu vya IFM na Chuo cha Kiislam Morogoro, wakihamaki wakati walipokuwa nje ya Ofisi za Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu zilizopo Msasani jijiji Dar es Salaam leo, walipofika kuulalamikia uongozi wa bodi hiyo kwa kutosimamia taratibu za ulipaji wa ada za wanafunzi na kupanda kiholela kwa ada kutoka Sh. milioni 1 hadi milioni 1.7, jambo linalowafanya baadhi ya wananfunzi kushindwa kulipa.
Home
Unlabelled
wanafunzi wa vyuo vya IFM na Chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro waandamana leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
matatzi kama haya kama hayapatikani muafaka ndio pakupandishwa kwenye bunge ili lijadiliwe. serekali inafanya nini? hili ni tatizo na sio lakuzungumziwa nje ya bunge. kuna wakati rafiki yangu aliniambia jinsi hii bodi ya mikopo inavyowanyanyasa wanafunzi hata kupata mikopo.na sidhani kama kuna system ambayo iko effective ya wanafunzi kurudisha mikopo kama nchi za wenzetu.
ReplyDeleteina maana bodi haiwasumbui UD, UDOM, SUA, DIT, n.k. inawasumbua hawa tuu?
ReplyDeletenilijuwa tuu, mambo ya tangu ukoloni
ReplyDeleteTatizo ni hivi vyuo vya watu binafsi na baadhi ya taasisi kupandisha ada ovyo,.. bodi kama bodi ina kiwango chake cha kulipa ada,na sio kwamba kila mara chuo kinapo amua kupandisha ada basi na bodi nayo itakubaliana na mabadiliko hayo.
ReplyDeleteukiritimba wa vyuo kupandisha ada ovyo unapelekea usumbu na unatishwa mzigo mkubwa sana kwa wanafunzi na wazazi.
wito, kwa sisi tulio someshwa na serikali kupitia mapango wa ukopeshwaji tujitokeze na kulipa madeni yetu ilikuiwezesha bodi kua na vyanzo mbadala vya mapato na sio kutegemea serikali peke yake, na hatimaye kuwezesha wanafunzi wengi kupewa mikopo na matatizo kama haya kupungua.