Waziri Mkuu,Mh Pinda akizungumza na Mkurugenzi wa Mawasiliano kutoka kampuni ya bia ya Serengeti (SBL),Teddy Mapunda mara baada ya kupokea misaada hiyo.
Mkurugenzi wa Mawasiliano kutoka kampuni ya bia ya Serengeti (SBL),Teddy Mapunda akipeana mkono na Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda mara baada ya kumkakabidhi msaada wa vifaa vyenye thamani ya shilingi Milioni 15 mapema leo Ukonga jijini Dar,msaada huo ikiwemo Mabati 300,Cementi 300,mashuka 200 pamoja na vyandarua 200 vyote vikiwa ni kwa ajili ya kusaidia waliothirika na milipuko ya Mabomu iliyotokea hivi karibuni,Gongo la Mboto,jijini Dar.
Mkurugenzi wa Mawasiliano kutoka kampuni ya bia ya Serengeti (SBL),Teddy Mapunda akikabidhi msaada wa vifaa vyenye thamani ya shilingi Milioni 15 kwa Waziri Mkuu,Mh Mizengo Pinda (pichani kulia) mapema leo Ukonga jijini Dar,msaada huo ikiwemo Mabati 300,Cementi 300,mashuka 200 pamoja na vyandarua 200 vyote vikiwa ni kwa ajili ya kusaidia waliothirika na milipuko ya Mabomu iliyotokea hivi karibuni,Gongo la Mboto,jijini Dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ninawapongeza watanzania na mashirika mbalimbali kwa misaada kwa waathirika wa mabomu ya Gongolamboto. Ninaamini misaada yote itawafikia walengwa, na sio watu binafsi kujinufaisha! Mbarikiwe wote.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...