Mkurugenzi wa uendeshaji wa mfuko wa pensheni kwa watumishi wa umma (PSPF) Bw. Patric Mogella akiongea kabla ya kukabidhi msaada wa mashuka 420 na foronya 240 wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 4.6 kwa hospitali ya mkoa wa Kagera. Shoto ni mwenyekiti wa bodi ya hospitali hiyo Bw. Johansen Rutabingwa na kulia ni mganga mkuu wa mkoa wa Kagera Dr Alex Mwita.
Mganga mkuu wa hospitali ya mkoa wa Kagera Dr Alex Mwita (kulia)na Mwenyekiti wa bodi ya hospitali hiyo B w. Johansen Rutabingwa na meneja uendeshaji wa PSPF Bw. Patrick Mongella wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kupokea msaada huo. Picha na Audax Mutiganzi,Bukoba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. duh, hilo shuka au bango la biashara??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...