Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi waandamizi wa CCM wakipiga makofi muda mfupi kabla ya kuanza kikao cha Halshauri kuu ya Taifa CCM katika ukumbi wa White House mjini Dodoma leo asubuhi.
Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal ,Wziri mkuu Mizengo Pinda pamoja na baadhi ya wajumbe wa mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM taifa wakati wa kuanza kikao hicho mjini Dodoma leo asubuhi.(Picha na Freddy Maro).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. WAKATI UMEFIKA SASA,MAKAMBA NA WENZAKE WANAKIONA "KILICHOMTOA KANGA MAGOYA"YA MKIANI,HUU NIYO MWISHO WA RELI,BADO WENGINE WANAFUATA,UFISADI
    KWISHNEY !!!SASA ANZENI KULICHEZA HILO SEBENE !!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...