WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Fatma Ferej akisoma majumuisho ya michango ya Wajumbe waliochangia
 MWAKILISHI wa Magomeni Salimin Awadh akitaka maelezo ya matumizi ya komoja ya Vifungu vya bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wakati wa kupitisha vifungu vya Wizara hiyo jana.
MWAKILISHI wa Mji Mkongwe Ismail Jussa  akitaka ufafanuzi wa kimoja cha kifungu cha Wazari hiyo wakati wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais. 
 Hija  Hassan Hija( KIWANI) akitaka ufafanuzi wa kifungu cha bajeti wakati wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Mamamu wa Kwanza wa Rais 
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi  akisikiliza  hoja za Wajumbe  katika kupitisha vifungu vya bajweti ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais.
Picha na mdau Othman Maulid-Zanzibar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...