Ilikuwa  pata shika na nguo kuchanika katika Onesho la "Afrika Tage" mjini Freudenstadt, nchini ujerumani, siku ya jumapili 26.06.2011 wakati kikosi kazi cha Ngoma Africa band aka FFU Ughaibuni kilipofanikiwa kwa mara nyingine kuwadatisha akili washabiki wake kiasi cha washabiki hao kushindwa kijizuwia na kuvamia jukwaa la FFU na kwenda sambamba na gwaride la mziki...wasikilize ffu at www.ngoma-africa.com
 Kamanda Ras Makunja wakiongoza ligwaride
Washabiki wakipiga kwata jukwaani 
 Palikuwa hapatoshi
FFU  Ughaibuni walipowasili mjini hapo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2011

    ffu kweli mnatisha,sio mchezo urimbo wenu mkali kweli..lakini vipi kamanda kabinti ako akichezi mbali na bega? au ndio analinda?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 30, 2011

    hiiii!ffu aka watoto wa mbwa naona mnabwaka kila pembe ligwaride buruta..virungu...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...