Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2011

    I realy appreciate for those who devote their efforts and time to give us career path of these inspirational&motivational mentors!!!
    keep it up bang!!!highly appreciated!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 30, 2011

    Wale wanaouliza Bongo maisha vipi? Huo ndio ujasiriamali, jifunze amali ambayo itakusaidia ukirudi Bongo. Kila kitu Bongo kipo ujanja ni wako tu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 30, 2011

    Wengine biashara zetu zimekufa hakuna umeme, bongo nini bwana ati kila kitu kipo umeme je? hiyo ndo bidhaa adimu

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 30, 2011

    Sasa mbona hata email za biashara hawajibu? Bongo kazi kwelikweli.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 30, 2011

    Nakubaliana na hapo juu. Nimeandika email huko NHC kuhusu hizo nyumba walizoziweka kwenye mitandao kuwa zinauzwa/zinapangishwa na mpaka leo hii hakuna majibu. Haya magazeti is just for show-off tuu. Hii mitandao wanayoiweka kwenye website za government au makampuni haziangaliwi wala hazijibiwi!!!! Halafu mnapiga kelele turudi nyumbani kuwekeza how can this be accomplished kama email za maswali muhimu hayajibiwi? Tunaona maendeleo sawa, sasa inaishi kwenye mapicha na magazine tuu? Sidhani hata balozi zetu huku zinahabari ya vitu kama real estate investment yeyote iliopo Tanzania. Kwa sababu kama NHC wanataka kuuza hizo nyumba kwa halali si kwa kuuziana kiukoo matangazo hayo na contact information zingekuwa na balozi zetu huku nje ili tupate jina na contact za mtu wa kuongea naye huko home. Umeme ndiyo usiseme hata safari nimeahirisha niliposikia kuna mgao wa umeme ni bora niende las vegas au Hawaii au London kutembea summer hii kuliko kwenda kuanza kuzizima magenerator na bei ya mafuata ni mara 3 ya huku! OMG!

    Mdau USA

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 30, 2011

    usilogwe ukarudi bongo,utalost ile mbayaaaa. no umeme,no maji.halafu wanasema bongo tambarareee. Kama unabisha jaribu kurudi uone,utadata hadi ukumbuke box lako uliloliacha kiwanja.heheheee

    ReplyDelete
  7. Napenda kununua gazeti hili kwa M-pesa je nitapata mtu wa kuniletea ofisini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...