Waziri wa Fedha,Mh. Mustafa Mkulo akisoma hotuba ya ufunguzi rasmi wa maonyesho ya Wizara ya Fedha ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania bara yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika Hodhi la Mali za Serikali (CHC),Dome Malosha akipokea kikombe cha ushindi wa jumla wa kwanza wa maonyesho ya Wizara ya Fedha ya miaka 50 ya uhuru kutoka kwa Waziri wa Fedha,Mh. Mustafa Mkulo leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Fedha,Mh. Mustafa Mkulo akizindua kitabu cha historia ya Wizara ya Fedha leo jijini Dar es salaam kwenye maonyesho ya Wizara ya Fedha ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania bara yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi mmoja.Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO.
Uhuru wa Tanzania ? au Uhuru wa Tanganyika? Tanzania haijawahi kutawaliwa !! bora useme Uhuru wa Tanzania Bara au ndio kusema Tanganyika ndio Tanzania tufahamishe tuelewe.
ReplyDelete