Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na watanzania waishio Australia wakati alipokutana nao mjini Perth unakofanyika mkutano wa wakuu wa nchi za jumuiya ya madola leo jioni. Picha na Freddy Maro
Picha ya pamoja ya wanajumuia wa kike wanaoishi Australia pamoja na Mke wa Rais na Mama Salma Kikwete baada ya kumalizika kwa mkutano wa Rais Kikwete na Watanzania wanaoishi Australia leo.
Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Wabongo tumezidi kukimbilia nchi za nje. Yaani kila nchi tupo tunahaha.
ReplyDeleteMnatesa au mnateseka huko majuu?
Mdau
Igunga, Tabora
I have lived in Canberra for many many years and I am sure we do not have a national org for Tanzanians here in Australia. There are pockets of orgs in each city. The one you are referring to is probably for Western Australia which is 5 hours journery by Air.
ReplyDeleteAlso the people living in the Eastern side were not informed of this occassion. First time I hear about it is through you although I knew His Excellecy JK was comming to Perth.
Cheers
naona ni wakati wa serekali kukubali na kupitisha sheria ya watanzania kuwa na uraia wa nchi mbili. kwani naona wabongo wengi tunajibana bana sana manchi ya watu na atutaki kurudi nyumbani.
ReplyDeletemdau paris
Ester Elisaria nakuona mama....you have trimmed ee...au unakula mikate sana...all the best mama
ReplyDelete