Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hatua ya Jk kutaka vipengele vya katiba virekebishwe upya na, hasa kutofautiana na wabunge wa chama chake, hii inaonyesha sasa kuwa he is a Leader, na mwenye kuthubutu kutoa maamuzi magumu. Je, asingetumia nguvu zake kuleta haya marekebisho mapya bungeni, hizi sifa za dharura za wabunge wa ccm angezipata wapi? Sasa hapa tunamkumbuka mbayuwayu wako, uliemtumia mwenyewe.... yaani umeshauriwa, umeelezwa, na kushuhudia lakini at end of the day umetumia busara zako.

    Tunajua una busara na hasa subira na fadhila, but now vinakugharimu na viyaendelea hivyo hadi wakati haupo katika nafasi hiyo unless uchukue maamuzi magumu now na sio kesho, and that is a kind of leader world needs. Ikiwa una mwanao anakutuka hadharani, halafu badala ya kuchukua hatua hadharani unanyamaza, au kutaka kuchukua hatua gizani haikuletei picha nzuri.

    If you keep being strong as this, utafuta yote ya nyuma watu wanayokulaumu nayo...! Big up

    Kibanga Msese

    ReplyDelete
  2. R.I.P Aunt, kweli ni huzuni kukupoteza Mama Mutasa. Tulikupenda ila Mungu amekupenda zaidi.

    ReplyDelete
  3. Jessica MutahanamilwaFebruary 11, 2012

    Rest in Peace mama. Tulikupenda, but guess what? GOD loved you more than us. One day we shall meet again. You are missed and loved too.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...