Mwimbaji maarufu wa muziki wa injili nchini Tanzania Flora Mbasha na mumewe (shoto) walipata fursa ya kutembezwa katika  studio nzima, na kuweza kuona  utendaji wa kazi unavyoenda. Pichani wakiwa Mkuu  wa idhaa ya kiswahili, Dk. Hamza Mwamoyo na  mtayarishaji wa vipindi Bwana Dwayne Collins (kuume). Baada ya hapo kwa pamoja Flora Mbasha alifanyiwa mahojiano na watangazi Sunday Shomary na Mary Mgawe ambayo yalirushwa moja kwa moja hewani. Habari hii imeletwa kwenu na Alex kassuwi, Washington DC.
 . Mkuu  wa idhaa ya kiswahili, Dk. Hamza Mwamoyo, akiongea na Flora Mbasha
Flora Mbasha akihojiwa na Mary Mgawe na Sunday Shomari 
katika studio za VOA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nimeshindwa kujua yupi ni Dwayne na yupi ni mume wa Frola Mbasha hapo kwenye picha ya juu

    ReplyDelete
  2. Aliyevaa suti nyeupe mrefu ndie Mr. Mbasha

    ReplyDelete
  3. inatia moyo amepata mafanikio mazuri kati kutangaza injili. Bwana apewe sifaaaaaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...