Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt Terezya Huvisa akionyeshwa kipande cha Jiwe ambacho kilikuwa Mti baada ya kufukiwa Aridhini na Mjiolojia Mwandamizi wa Mantra Tanzania Ltd Bw Mathias Gingi alipotembelea Mradi wa Madini ya Uranium, inayoendeshwa  na kampuni ya Uranium One ya Canada 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt Terezya Huvisa akizungumza na mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Mh Saveli Mwangasame mara baada ya kuwasili kuangalia Mradi ya kampuni ya Mantra ya Tanzania inayoendeshwa na kampuni ya Uraniaum One ya Canada Wilaya ya Namtumbo Mkoa wa Ruvuma. Picha na mdau Ali Meja wa VPO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...