Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Tshs imeamua 'kukomaa' sasa.On paper sh.yetu inaonekana haina nguvu kwenye dola, lakini tukiingia kwenye kununua vitu ina nguvu(Wataalam wa uchumi watanisaidia hapa)..Huu ni utafiti nilioufanya katika nchi zaidi ya kumi nilizowahi kuzitembelea hapa Duniani.Mfano nikibadilisha dola 100 Tanzania napata kama Kilo 100 za Sukari.Nchi nyingine dola 100 unapata pungufu ya kilo mia.Na bado TZS inaonekana haina nguvu kulinganisha na hiyo nchi husika.Nguvu ya pesa ni nini???....ununuzi wa vitu..?,Exports?,Imports?,Rangi ya noti?,Ubora wa noti..?

    David V

    ReplyDelete
  2. mbona hakuna uwiano wa bei za kununulia na kuuzia. How come, mtu uuze currecy fulani kwa sh 100, kisha wewe uuziwe kwa 350??? Huu ni wizi mtupu. Naomba tafadhali wahusika mlione hili kwa ajili ya kuchukuwa hatua.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...