Magari yakiwa kwenye Foleni kubwa Mchana wa leo kutokana na uzembe wa madereva wa Daladala kwenye kituo cha Magomeni Moroco Hoteli.
 Kutokana na urefu wa Foleni hiyo,Magari mengine yalilazimika kuingia upande mwingine wa barabara na kuendelea na safari zao.
Hawa nao ndio wanaingia upande mwingine wa barabara.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Eleza vizuri, mbona magari yamekwisha toka Morocco hotel na tatizo linaonekana lipo maeneo ya Mkwajunu ama Studio.

    Yanayoelekea Morocco Hotel ni shwari tu; unalijua jiji kweli?

    ReplyDelete
  2. Hao wanaotanua upande wa pili ni uhuni tu.

    Askari trafiki muko wapi, mbona hata jumapili munakuweko barabarani kucheki leseni?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...