Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt ambao ni wadhamini wa kuu wa hafla inayowakutanisha wadau wa Masoko,Pamela Kikuli akizungumza machahe kwenye hafla hiyo inayoendelea hivi sasa kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro,jijini Dar es Salaam.
 Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt ambao ni wadhamini wa kuu wa hafla inayowakutanisha wadau wa Masoko,Pamela Kikuli (kulia) akipokea cheti kwa niaba ya wadau wa TBL ambao hawakuweza kuhudhulia kwenye hafla hiyo jioni hii kutoka kwa Dk. Walle Akinyemi wa Kampuni ya Power Talk.
 Kiongozi wa hafla hiyo ya Wadau wa Masoko,Coach Phillip Kambe akifafanua jambo wakati wa hafla hiyo inayoendelea hivi sasa kwenye hoteli ya Hyatt Kilimanjaro,jijini Dar es Salaam.
 Meneja wa bia ya Castle Lager,Kabula Nshimo na Meneja wa Kinywaji cha Redd's,Victoria Kimaro wakionyesha chupa ya bia ya Ndovu Special Malt ambayo imepata tuzo nyingine ya Monde hivi karibuni.

kwa picha zaidi

au

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...