Bw. Paul Brenton Trade Practice Leader- AFTPM akitoa ufafanuzi pembeni yake ni Bw. Danny Leipziger – aliyekuwa Mkuu wa Idara ya kupunguza umasikini na kuinua uchumi.
Kutoka kushoto Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile, Mkurugenzi wa Utafiti na Sera za Uchumi wa BOT Dkt. Joseph Masawe na Naibu Gavana wa BOT Bi. Natu Mwamba wakitafakari kwa makini majadiliano hayo.
Bw. Zenfack, katikati akifafanua jambo katika mkutano huo, kulia ni Bw. Philippe Dongier Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi.
Bw. Shahid Yusuf ambaye ni Consultant wa AFCE akichangia hoja katika mkutano wa ujumbe wa Tanzania na Benki ya Dunia.
Ujumbe wa Tanzania katika mkutano na Benki ya Dunia.Picha zote na Bi. Ingiahedi Mduma – Washington DC

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...