Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (kushoto)
akimkabidhi kikombe mmoja wa washindi katika mchezo wa kuogelea kwenye
maadhimisho ya Siku ya Familia iliyofanyika Kunduchi Wet 'n' Wild Water
Park ya Jijini Dar es Salaam jana.

Baadhi ya washindi wa mchezo wa kuogelea wakipata picha ya kumbukumbu
na viongozi waandamizi wa NMB baada ya kukabidhiwa zawadi zao kwenye
maadhimisho ya Siku ya Familia yaliyofanyika Kunduchi Wet 'n' Wild Water
Park ya Jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (kulia)
akizungumza na wafanyakazi wa NMB pamoja na familia zao kabla ya
kuzinduwa rasmi maadhimisho ya Siku ya Familia (family day) kwa
wafanyakazi wa benki hiyo yaliofanyika Kunduchi Wet 'n' Wild Water Park
ya Jijini Dar es Salaam jana. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni
Tusherehekee pamoja mafanikio ya Miaka 10 ya NMB.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker (kushoto)
akizungumza na wafanyakazi wa NMB pamoja na familia zao kabla ya
kuzinduwa rasmi maadhimisho ya Siku ya Familia (family day) kwa
wafanyakazi wa benki hiyo yaliofanyika Kunduchi Wet 'n' Wild Water Park
ya Jijini Dar es Salaam jana. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni
Tusherehekee pamoja mafanikio ya Miaka 10 ya NMB.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...