Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 30, 2016

    Ivi mtu kama huyu tunamfanyaje maana tukisema tumuuzie hili basi nina hakika hatokua na hela!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 30, 2016

    Nimeona ujinga mtupu pande zote mbili. Hata hawa madereva wa mabasi wawe na tahadhari. Sio kwa vile tu yaiatwa ya mwendo kasi basi ndio yakose tahadhari. Nimewaona wanandesha kama vile wao hawana kinachoweza kuwazuia.

    Waelewe kuna maeneo mengi barabara wanazopita bado ni shared space. Waelewe pia barabara hizi zimeanzisha utaratibu mpya ambao utachukua muda kwa watu wote kuuelewa na kama kawaida ya watu wetu hata kuuheshimu.

    Hivo chonde chonde tufanye tahadhari sote. Kuna mhimu mkubwa wa public education lakini pia wa driver education as well. They ar not immune to the harzards of the road.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...