Mwenyekiti
Wa Serikali Ya Mtaa Wa Gongolamboto, Bakari Shingo akiwa chini ya ulinzi baada
ya kuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akamatwe kwa tuhuma
mbalimbali ikiwemo ya kughushi nyaraka za serikali.
Malalamiko
kuhusiana na kutosoma taarifa ya mapato na matumizi na kukusanya mapato kutoka
kwa wananchi kinyume ana taratibu za makusanyo ya fedha za umma.
RC Makonda
anaendelea na ziaraa yake ya siku 10 katika jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya
kusikiliza kero za wanachi ambapo leo amefanya ziara katika Wilaya ya Ilala.Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya
jamii.
Mwenyekiti
Wa Serikali ya Mtaa wa Gongolamboto, Bakari Shingo alipokuwa akitoa hotuba fupi kabla ya kuwekwa chini ya ulinzi wa polisi
Mwenyekiti
Wa Serikali ya Mtaa wa Gongolamboto, Bakari Shingo akiwa chini ya ulinzi wa Polisi.
Mwenyekiti
Wa Serikali ya Mtaa wa Gongolamboto, Bakari Shingo akiwa chini ya
ulinzi wa Polisi akipakizwa kwenye gari kwa hatua zaidi za kisheria
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...