Kamishna Mkuu wa mamlaka ya kupambana na kuzuia Dawa za Kulevya Nchini Rogers William Sianga akijitambulisha mbele ya Baraza la Taifa la kudhibiti Dawa za Kulevya wakati Waziri Mkuu alipokuwa akizindua Baraza Baraza la Taifa la kudhibiti Dawa za Kulevya.
 Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na  Mawaziri na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Udhibiti wa Dawa za Kulevya Nchini  wakati akifungua kikao cha Baraza hilo leo Jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu, Bunge, Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza wakati wa uzinduzi wa kikao cha Baraza la Taifa la kudhibiti Dawa za Kulevya.Picha na Daudi Manongi-MAELEZO.
 
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Augustine Mahiga,Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Harrison Mwakyembe na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe.Paul Makonda wakizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa kikao cha Baraza la Taifa la kudhibiti Dawa za Kulevya.
 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Venance Mabeyo akizungumza jambo na Kamishna Mkuu wa mamlaka ya kupambana na kuzuia dawa Za Kulevya Nchini Rogers William Sianga wakati wa uzinduzi wa kikao cha Baraza la Taifa la kudhibiti Dawa za Kulevya.
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Augustine Mahiga,Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe,Nape Nnauye, Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Harrison Mwakyembe na Waziri wa Mambo ya NdaniMhe Mwigulu Nchemba wakifuatilia hotuba ya Waziri Mkuu wakati wa uzinduzi wa kikao cha Baraza la Taifa la kudhibiti Dawa za Kulevya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...