Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi (waliosimama katikati) akiwa
na wageni waalikwa na baadhi ya vijana walioibuka washindi kwenye fainali ya mashindano
ya kitaifa ya kuhifadhi Quran Tukufu kutoka Tanzania Bara na Visiwani yaliyofanyika
ndani ya viwanja vya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Mwalimu Nyerere, Dar
es Salaam jana, chini ya uratibu wa Taasisi ya Al-Manahilul Irfan Islamic
Centre. Wa pili kulia waliosimama ni Makamu wa Rais mstaafu Dk Gharib Bilal
Home
Unlabelled
RAIS MSTAAFU MWINYI NA WASHINDI WA FAINALI YA MASHINDANO YA KITAIFA YA KUHIFADHI QURAN LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...