Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango
katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi
cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi
wa Ikulu Mjini Unguja.
Waziri
wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed (kushoto) akiteta
jambo na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi
Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee wakati wa kikao cha siku moja cha
Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai-
Septemba 2017 cha Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika leo katika
ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo
pichani)
Baadhi
ya Viongozi wa Idara mbali mbali zilizo chini ya Wizara ya Fedha na
Mipango wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi
wa Wizara hiyo leo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango
kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika ukumbi
wa Ikulu Mjini Unguja.
Mkurugenzi
wa Mamlaka ya Vitega Uchumi Zanzibar (ZIPA) Salum Nassor Khamis
alipokuwa akitoa ufafanuzi kuhusu taasisi yake wakati wa kikao cha siku
moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza
Julai- Septemba 2017 cha Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango
kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya
Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...