CHUO
KIKUU CHA TUMAINI MAKUMIRA, KILICHOPO USA-RIVER, ARUSHA KINATANGAZA NAFASI ZA
MASOMO KWA MWAKA 2018/2019 KAMA IFUATAVYO:
ASTASHAHADA
(CERTIFICATE)
1.
Astashahada
(Certificate) ya ICT (mwaka 1)
2.
Astashahada
(Certificate) ya Usimamizi wa Biashara/ Business Administration (mwaka 1)
3.
Astashahada
(Certificate) ya Uhasibu (Accounting) (mwaka 1)
4.
Astashahada
(Certificate) ya Sheria/Certificate in Law (mwaka 1)
Sifa zinazohitajika:
·
Mwombaji
awe na ufaulu wa kuanzia alama “D” katika masomo manne.
AU
·
Ufaulu
wa kiwango cha ‘subsidiary’ kwa Kidato cha 6
KOZI ZA STASHAHADA
(ORDINARY DIPLOMA)
5.
Stashahada/Diploma
(NTA Level 5 & 6) katika ICT (miaka 2)
6.
Stashahada/Diploma
(NTA Level 5& 6) Usimamizi wa Biashara/Business Administration (miaka 2)
7.
Stashahada/Diploma
(NTA Level 5 & 6) katika Uhasibu/Accounting (miaka 2)
8.
Stashahada
ya Sheria /Diploma in Laws (mika 2)
Sifa zinazohitajika:
·
Mwombaji
awe na Cheti cha NTA Level 4 kutoka chuo kinachotambulika na NACTE
AU
·
Ufaulu
kwa kiwango cha “Principle” moja (1) na “Subsidiary” moja (1) kidato cha Sita
(A-Level)
Maombi yafanyike kupitia mtandao
wa chuo
“ONLINE APPLICATION” katika tovuti ya chuo, yaani: www.makumira.ac.tz
AU
Chuoni, Tumaini University Makumira,
Ofisi ya Msajili.
Msajili,
Chuo Kikuu cha Tumaini
Makumira,
S. L. P. 55, Usa
River, Arusha
Simu: 027 254
1034
Simu za Mkononi: 0753
293986 au 0753 008084
Barua pepe: registrar@makumira.ac.tz
napenda kujiunga na chuo katika sayansi ya afya na hospitali mwaka Wa masomo 2018/2019 jina Charles Emanuel samwel Namba ya usajiri S.1105/0011
ReplyDeletekujiunga na sayansi ya afya na hospitali mamba ya usajiri S.1105/0011
ReplyDeletenapenda kujiunga na chuo katika astashahada ya sheria mwaka 2018/2019 namba ya usajili S3280/0022
ReplyDeleteNapenda kujiunga na chuo katika stashahada ya sheria mwaka 2018/19 namba ya usajiri S0612/0543.namba ya mawasiliano ni 0693090372
ReplyDeletenapenda kujiunga na chuo stashahada certificate ya ICT namba ya usajiri ni s0989/0019
ReplyDeleteSamahani mkuu je nikiwa Sina physics naweza kujiungaa na chuo Cha afya
ReplyDeletejaman kama hujasoma physics unaweza kujiunga na chou cha afya
ReplyDeleteNapenda kupata ufafanuzi zaidi katika kujiunga na chuo na course zote zitolewazo na chuo kila mwaka asante
ReplyDelete