mchana kati ya wiki hapa dom ni bungeni, jioni kujirusha aidha na supa melodi, sakis stars, new nyanyembe ama disko nk. hapa ni miami beach wanakopiga supa melodi kila ijumaa na jumamosi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2006

    AH! MICHUZI UTATUYEYUSHA BWANA, YAAANI KUCHEZA ZERO KABISAAAAA!

    ReplyDelete
  2. Kaka shurti jaketi hadi diskoni basi? Mi nilidhani we ni mtu wa katalogi bwana? unaiangusha Michuzi, au ndio kiuheshimiwa wannabe??!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...