mama huyu jana usiku ukumbi wa miami beach alikula chupa ya kichwa wakati wa onesho la bendi ya supa melodi. hakuwa tayari kuniambia kisa wala jina lake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hii ndio raha ya uswazi mabastola hamna ila saa yoyote ile nanga zinapaa kama huyu unaweza kukuta kafumwa na buzi la rafiki yake, tofauti na ughaibuni risasi moja tu unakufa, sisi huku hatufi ila cha moto tunakiona

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 29, 2006

    Ina maana Bw. Michuzi bado upo Dom? Sasa hizi picha za vituko vya Fiesta 2006 atatuletea nani? Tupo tayari kukuletea ndege uwahi Full Shangwe.

    ReplyDelete
  3. usijali anony, michuzi junia wa kitangoma yuko ndani ya nyumba, usihofu na wala usipate hasara kuchata ndege

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 29, 2006

    Kama aliiba dume la mtu basi saizi kula chupa ya kichwa, ndo akome kumamamake. Nyege mbele, mwanamme wa mtu mwingine, hahahaha

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 30, 2006

    Matutusi ya nini wewe annymous 3:07. Huyu ni dume jike, kamfumaniwa na demu lake....lakini ndio mambo ya starehe. Michuzi, I am sure aliendelea kunywa mai huyu. Fiesta, Fiesta !

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 30, 2006

    Ni jike dume linatoka Morogoro nalifahamu ukienda Nanenane mwaka huu kuanzia juma lijalo utaliona viwanja hasa mabaa yenye open spaces kuanzia Msamvu mpaka Nane nane kwenyewe. Hao waliopo nyuma yake wanafanana sana na shemeji zangu kutoka Iringa!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 31, 2006

    EMBU LITOENI BASI HAPO HILO JIKE DUME,MANA WATU WENGINE WANASIKIA KINYAA.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 31, 2006

    duh,brother michuzi huyo alikwepa mtama akakutana na ndoo akafikiri chupa,bongo nguvu yako tu maana kwa hali hii mh!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...