katika muendelezo wa tizi nachukua mbinu za uh. toka kwa mbunge wa singida mh. mohamed dewji 'mo'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 29, 2006

    kazana son , halafu ukija fanikiwa wataanza kuchonga oohh kapewa oohh kagaiwa, kumbe mwenzio ndio napiga ndogo ndogo, wana sahau kwamba safari ya maili 1000 huwanza na hatua moja....

    jichanganye nao ili wakudokolee kidogo vile viresip vya kuwakonga wapiga kuru wako....

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 29, 2006

    Hapo kaka kama sio kujitmbulisha na wewe Jumba lako limetuliaa mimi nikajuw ani mbungee kutokea kanda ya ziwa

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 31, 2006

    wazinzi mmekutana hapo bro,na kama ubunge we hujaamua tu wabongo watakupa tu.

    ReplyDelete
  4. Safari moja uanzisha nyingine

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...