mshabiki wa timu ya polisi dom ilipocheza na kutunguliwa 1-0 na simba juzi uwanja wa jamhuri

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 28, 2006

    Jamani hivi manjagu nao hujichana sigara kubwa au ni nini kinachoendelea hapa?!!Tena sajenti mzimaa mchana kweupee!!

    ReplyDelete
  2. Trio Kaka umenikumbusha mbali sana enzi za Mkama Sharp huyu alikuwa kikosi cha mbwa na farasi polisi Baracks Kilwa road, huyu jamaa hata iwe Boom FC na Ashant FC uwanja wa karume upande anaokaa alikuwa haruki mtu ukuta (wall),jamaa tulikuwa tunamuimba mpaka kwenye mchiriku, sharp alikuwa anawapanga mbwa kama watano halafu na yeye anazunguka zunguka na bastola mbili, wababe wa ilala kina Mbete na Makusuti wenyewe walikuwa wanangwaya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...