nakula pozi na profesa mwandosya (shoto) na profesa mwakyusa leo. ama hakika uh. mtamu jamani...harufu tu min'shalala. sikubali. lazima nifanye kweli siku moja, we ngoja tu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2006

    Waah kweli umeamua, na kusema ukweli yaani kama mtu hakujui kama wewe ndiye michuzi basi atadhani waheshimiwa watatu wameamua kustrake pose.
    wewe jichanganye nao tu ndio watu wanavyo anza.
    Mungu anaona juhudi zako na zitajibiwa tu sku moja si unaona wanahabari wenzio walio jichanganya na sasa wamelamba bingo.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 31, 2006

    du halafu Masalo nyumba yako kali kuliko za waheshimiwa, usiniambie umeshonesha au kuchukua mtumbani, sitokuamini, inaelekea ulijikoki ile mbaya kabla ya tripu la Dom, way to go bruv!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 31, 2006

    Wanyumbani-mmh ndaga fijo ,ufumile kuhu?
    nawafagilia, nipo hapa Mwanjelwa kwa mama John nakamu ulanzi toka Makambako kichizi!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 31, 2006

    Michuzi wakina Betty mkwasa na sarah dumba wameula bado wewe sasa, hata ukiwa dc tu inatosha, au wewe unataka wato wa kule mbeya wa kuchague

    ReplyDelete
  5. WANYAKYUSA KWA SIFA HAWAJAMBO JAMANI.

    ReplyDelete
  6. wee anony hapo juu acha umbea. sifa gani unazozizungumzia?

    ReplyDelete
  7. VERY ARROGANT

    ReplyDelete
  8. Wanyakyusa wana sura zao fulani haziivi hata wawe waheshimiwa,mfano huyu waziri wa Afya anakula kuku tangu enzi hizo lakini wapi!!kapauka mwee.

    ReplyDelete
  9. big up!!! kidume.

    ReplyDelete
  10. hivi michuzi hao waheshimiwa wanajua una blog hii nini wanajua wakipiga picha na wewe utaweka hapa watoto wao watawaona.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...