gari ataloshinda miss tz 2006 leo usiku daimondi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. maskini mabinti zetu, wamejiachia sana kwa sababu ya hilo gari.mie nahisi gari linakwenda temeke,sintokwambia nani ila nahisi hivyo.............michuzi ndiyo ulikuwa njiani kuwahi tukio........hebu tutumie picha za tukio zima kesho

    ReplyDelete
  2. Ujinga mtupu!! Gari lenyewe ni la zamani na llinaonekana limechakaa!!

    ReplyDelete
  3. Si unajua barabara zetu na mvua inanyesha sana hapo ndipo walikuwa wanalipeleka diamond jubileeee. Ni gari bomba kweli kweli hila mpaka ulisogelee karibu sana.

    ReplyDelete
  4. Mama yangu wee! Hii Tuyota RAV4 mimi kama mwanamke nilikuwanayo mwaka 1994 wakati wa pirika pirika za mageuzi ya vyama vingi, wakati nina umri wa miaka 19 tu! Kabla sijasafiri. Sijaitolea jasho yeyote lile la kitumwa!
    Mbona wadogo zangu wanadhurumiwa na kudanganyanywa hivi?
    Kwanza bei gani sasa hivi RAV4 kama hiyo Michuzi huko Bondo? Si ushuzi mtupu tu kutokana na kazi wanayoifanya? Yaani huo upuuzi ndio unaowafanya waache shule na kutiwa ovyo na mababa zao, kwa tamaa jamani. Tuwasaidieni jamani kwa mawazo na financial kama inawezekana.

    ReplyDelete
  5. wewe anony hapo juu, hukutoa kuma wewe kuipata hiyo toyota mwaka 1994 na miaka yako 19?

    ReplyDelete
  6. hebu mpe vipande vyake maana kuna watu wanajisahau kabisa tena aliitoa kwa wahindi na waharabu shenzi kabisa huna adabu.....zoezi la miss tz si lazima watembee na hao watu mnamuonea sana lundenga kwa kiasi kikubwa labda ni mmoja kati ya hao wote tena msichana mshenzi ambaye hana values ktk maisha hajui anataka nini na si manager wa mwili na mawazo yake ndio ataruhusu kuchukuliwa kwa ajili ya mashindano mimi nachukulia kama sehemu ya sanaa zoezi zima la miss!!!

    ReplyDelete
  7. come on guys, na nyie mnasupport ujinga. hii gari siyo milioni 8, na kama ndiyo hivyo basi bongo watu wanaibiwa. vilevile, mwaka mzima atakuwa anatangaza biashara ya hawa masponsor, this is bullshit. watu wamesoma lakini wana akili za panya. Changamkeni watanzania, mnaingizwa mjini hivi hivi kwenye nchi yenu, it's a shame!

    ReplyDelete
  8. huo udongo unaonekana kwa ndani masponsor mlishindwa hata kuimwagia maji kidogo mbona mnatutia aibu hivi watz wenzetu jamani gari gani hilo????? uchafu mtupu

    ReplyDelete
  9. dada tafadhali usitupeleke peleke hapa magari tunayajua, 1994 RAV 4 ilikuwa bado haijatoka especially Tanzania, hizi RAV 4 zimeanza kutoka at least kuanzia 97-98,wote tumekaa bongo na miaka ya nyuma magari yote mapya yalikuwa yanajulikana especially DAR alikuwa ana introduce Azim Dewji au Marehemu Abdi Msomali,na wengineo, tusipelekane, labda kama ulikuwa unaishi Mbeya huko hatujui, taratibu bibie!!

    ReplyDelete
  10. Ameshasema "hakuitolea jasho" mnaelewa statement hiyo? nadhani ni hatari sana maana mzinga wa offer ho siji alifanya nini mpaka kupewa offer ya aina hiyo! anay way hata kupata offer hiyo ametoa jasho pengine mbaya zaidi kuliko warembo wetu>Alafu dada yetu mwaka hu RAV4 hazikuwepo TZ usitudanganye wala huna hata baiskeli unataka kusema tu ili sisi tureact!pole sana, acha ushamba.

    ReplyDelete
  11. Hapa kuna watu watatu tu ndio wametoa point kishenzi, kinoma kabisa.
    1. Gari chafu kabisa inamana mbongo hakuna maji siku hizi au?
    2. Shule
    3. Akili za panya!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  12. na vipi kuhusu huyu aliyesema alipata gari akiwa na miaka kumi na tisa mwaka 1994?

    ReplyDelete
  13. Wacheni uwongo nyie. Yule dada wala hakukosea: Model ya kwanza kabisa ya Toyota RAV 4 ilitengenezwa mwaka 1994. http://en.wikipedia.org/wiki/Toyota_RAV4

    ReplyDelete
  14. Acheni msmbo nyie, hilo gari freshi tu.

    (1) Hii ni gari ya kuingilia porini ("off-road"), kwa hiyo hata kama kuna kautope kwa mbali haileti shida.

    (2) Pamoja na kwamba RAV4 ilitengenezwa mara ya kwanza 1994, nadhani sote tunajua kwamba hazikuanza kuwa nyingi DAR mpaka baadaye (1997 na kuendelea).

    (3) Sijui thamani ya hilo gari(inategemea ina maili ngapi na ilitengenezwa mwaka gani) lakini kama haijachakaa sana, nadhani thamani yake ni nzuri tu.

    Sasa sijui nyie mnataka wawape nini?

    Ferrari?

    Lamborghini?

    Benz?

    BMW?

    Mko tayari kuwa masponsor?

    Vile vile kushinda Miss TZ sio pesa tu, ni sifa pia kwa binti atakayeshinda. Wengine wanachukulia kama fani na kuwa ma-models(Happiness Magesse) au waimbaji(Jacqeline Ntuyabaliwe) na wengine watakuwa wanajivunia maisha yao yote "Niliwahi kuwa Miss Tanzania" huku wakiendelea na fani nyingine(e.g Shose Sinare,Aina Maeda na wengine).

    Kwa hiyo mantiki ya kusema "wamedanganywa" sijui inatoka wapi.

    Hata kama ingekuwa bure watu wangegombea ili mradi waseme waseme na wao waliwahi kuwa Ma Miss.

    ReplyDelete
  15. anony aliyewahi kuwa miss tanzania umenichanganya kitu kimoja nieleweshe una maana gani? Ina maana kuwa Miss tanzania unahitaji kuwa na pesa?

    ReplyDelete
  16. anony wa 7:23:18 AM umenifurahisha sana, kila ulichokiongea kinamake sense. Kushindania urembo haimaanishi unahitaji kupata gari, there is more to that. mbona zamani watu walikuwa hawapewi magari na walikuwa wanashiriki? urembo una faida nyingi ikiwa kama kujivunia kuwa ulishawahi kushinda taji fulani, pia ni opportunity nzuri sana ya kupata connections and contacts kwa warembo wanaopanga kujiestablish baadae in many ways. huyo dada hapo juu inaonyesha ana IQ ndogo na mashauzi tu yamemjaa, hana lolote!!

    ReplyDelete
  17. Gari ni bomba tatizo ni watu hawajui maana ya miss, hapa ni urembo/usafi tu. Sasa urembo na uchafu wapi na wapi? gari chafu wanaleta la nini? Mzozaji mimi watu wa namna hii nawatandika viboko tu. Kitu lazima kiende na heshima zake bwana.Michuzi next tyme washauri waoshe gari, kila sehemu siku hizi bongo nafikiri kuna sehemu ya kuosha magari au rangi ilikuwa haijakauka nini?

    ReplyDelete
  18. Nyie wote ndio mastupid ever! Anayetaka proove ya RAV4 yangu ya 1994....ASEME sasa hivi hapa! Dunia mnaiona leo masikini wakubwa nyie! Anayemjua Kadogo Ngula, June Warioba, au Rahma Aziz huko huko kwenu Bongo ndio atawaeleza vizuri nani msichana wa kwanza kuendeesha RAV4 huko TZ...watawaambia, na ana umri gani sasa.
    Na wewe unayesema eti RAV4 zimeanza kutoka 97/98 huko TZ, POLE ur a biggest msukumwa na ulimwengu ever!
    Haloooooooooh! Mambu mbu mbu, mtaishia hivyo hivyo na huko huko!
    Kama wazazi wenu walikuwa masikini hawajasoma hukohuko sio wote! Au kama yako wewe aioni shauri yako weka ndimu! "Eti utakuwaje na gari kama hiyo katika age 19" Shoga yangu alikuwa na gari age 16! Kama mlikulia O/bay ndio mtanielewa otherwise am wasting my time with idiots! No school! primitive life!

    ReplyDelete
  19. Wewe dadu(anony Aug. 08, 2006, 7:40:13PM) nimekufagilia sasa unataka kunichefua hujui siku hizi hata gongo la mboto wamesoma na wanakwenda marekani na kurudi bongo kila kukicha. Wewe ndio wa zamani kabisa au ukiwa ugaibuni na kukaa obey unafikiri wenzako hawawezi?

    Kwa taaarifa vijana wengine pamoja na wazazi wao mwanzoni kuishi g/mboto, kinyerezi, nyakato, mto wa mbu, Kashai, Mbauda, Kijenge na mambonde kwinama na Kikwanguro sasa hivi wanatesa na mavx(Shule juu hata zaidi yako). Pia japani, englend, australia, amerika siyo tatizo kabisa mama. Usirudie tena na kufikiri ya 45/47 ilikuwa enzi hizo unasikia ati.

    ReplyDelete
  20. gali limepauka kichizi

    ReplyDelete
  21. We anony wa gorofa ya pili! Umeshasema SIKU HIZI kwa hao watu wa gongo la mboto,...n.k! Kama wangejua what was happening that time, na what was in the country that time, wasingebishana na mimi!
    Vinavyowastua sasa hivi sisi ndio tulilalia huko.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...