madenti wakitoka shule sehemu za kibaigwa, dodom

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. sasa michuzi majuzi hapo uliweka picha ya mweshimiwa mmoja alikuwa anatoa anachangia serikali kuangalia ustaarabu wa kuacha kuchimba mzizi..aka..kujisaidia porini wakati wa kusafiri..ni vizuri kabisa..lakini mbona hawachangii hata jinsi ya kuwasaidia hawa watoto wadogo japo usafiri..sasa hao wazazi wenye baiskeli wanasaidia watoto wao..je ambaye hana kabisa..unadhani mtoto kweli hapo na uchovu wote atembee mbali kote ataweza kukumbuka hata mwalimu alichomfundisha darasani??..wabunge wangekuwa wanaangalia pande zote..sio kutunga hoja wakati umebanwa mkojo unaenda dodoma uko..haukumbuki hata watu wa chini..mahospt hayana mashuka..mambo haya yanaboa sana aisee..

    ReplyDelete
  2. It is very heart-warming to see how pupils in Bongo go all the length to get education. I wish some Tanzanian kids here in diaspora get to see this demonstration of determination and fortitude and stop bunking off school.

    ReplyDelete
  3. Ukiangalia vizuri unaweza kuliona shamba la mzee wetu hapo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...