Home
Unlabelled
miss tz 2006
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mwalau hakukuwa na malalamiko sana, ila yale ya kawaida ya wadau wa washindwi, na mshangao wa vile photo point tulivyopiga bao kwa kuchagua chaguo la wengi kuwa miss fotojeniki
ReplyDeleteMwanya utamponza huo huo miss world,kimataifa mwanya ni tatizo,sio urembo kama Africa,labda miss world Africa
ReplyDeleteWema sepetu alijulikana atakuwa miss Tz mara baada ya aliyekuwa ameahidiwa(YUle miss Kinondoni aliyejitoa)kujitoa. Watz kwa kupenda mambo yaliyopinda pinda sijui tutayaacha lini. Watu wanafanya mashindano wakati mshindi alishajulikana siku nyingi. Shame!!!!!!!!!
ReplyDeleteKweli kabisa. Mtoto mwenyewe wala si mzuri wa kutisha ila sema tu baba yake ni kigogo basi. Si unajua tena utamaduni wa Bongo ulivyo wa kisenge. kwa maoni yangu, mshindi wa pili ni mzuri maradufu!!!
ReplyDeleteMiss TZ sio uzuru tu ni pia talent na akili ,mnajuaje huyo wa pili labda kichwa maji,uzuri siku hizi haumati sana kichwa na shule,na maarifa ya jamii.
ReplyDeleteWeee huyo mshindi wa pili ndio alitakiwa kuwa Misstz, maana kwa akili ndio mwenyewe uliza uambiwe sio unasema tuu, na uzuri pia, yaani huyo mngempeleka Miss world msingepata shida kwani ndio angekuwa MissWord trust me,laikini huyo sepetu ni zero tu, tunarudi kulekule nyuma baada ya kwenda mbele.Sikia sepetu nakutakia mafanikio mema,lakini nakushauri kitu kimoja mama lugha muhimu pia nidhanu na kuwa na upendo,michezo pia hasa ya majini ok. all the best.
ReplyDeleteSasa mbona huyu hanivutii mimi naomba wamuweke anatalia hata na siyo huyu
ReplyDeleteWe anony wa 10:58 acha kufuka na kusema usilolijua. Jokate form 4 alikuwa na 1.11 na form 6 2.10 sasa utasemaje ni kilaza?
ReplyDeletenakubaliana na wengi walioshangazwa na ushindi wa huyu Sepetu... hafai kuwa Miss TZ kabisa
ReplyDeleteHuyo Shiva whatever ndio mnyonyaji mkubwa! Yaani ametutukana watanzania kichizi kwa kutoa OFF ROAD gari kwa miss TANZANIA! Mnaelewa gari ikiwa off road?
ReplyDeletemaskini miss kinondoni ndo alipaswa kuwa miss tanzania
ReplyDeleteWALA SIO SIRI, NAMSAPOTI ANONY HAPO JUU.
ReplyDeleteKILA MTU ALISEMA MISS KINONDONI NDIO ANGESTAHILI KUWA MISS TANZANIA.
LAKINI NDIO HIVYO TENA, KWANI HAMJUI KINACHOENDELEA KATIKA MASHINDANO HAYA KILA MWAKA NA KILA MAHALI DUNIANI. UKIWA MCHOYO WA UCHI BASI HUCHAGULIWI.