mambo ya reo reo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Very poor photography Michuzi. With your experience even using a P&S camera you should've gotten a better angle than this.

    ReplyDelete
  2. Michuzi asante sana kwahiyo picha nipo mitaa ya London hapa nilikuwa nampigia kila mtu ninaye mjua aniambia rate ya £ to Tshs ya leo kichaa wangu mmoja akaniambia nicheck kwenye Blog yako...shukrani

    ReplyDelete
  3. Asante michuzi kwa kutupa exchange rate za home. Lakini oicha ya leo sio nzuri sana maandishi ya bango hasa ya chini hayaonekani vizuri, nategemea siku nyingie utatuwekea picha inayoonesha maandishi ya bango vizuri zaidi

    ReplyDelete
  4. Michuzi,
    Shukrani kwa taarifa ya viwango vya kubadilisha fedha za kigeni.
    Ebu nisaidie, Dola ya Zimbabwe unabadilishwa kwa Shillingi ngapi. Nimeshindwa kusoma ubao hapo chini.
    Natanguliza shukrani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...