Home
Unlabelled
pole
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ndio maana leo huyu mama hakuwepo kwenye uzinduzi wa bunge hapa westminster, kumbe yuko dar. Mabalozi huwa wanaalikwaga
ReplyDeleteKumbe ni wenyewe kwa wenyewe mnapeana pole. Vipi yule dereva wa daladala aliyepigwa risasi na Ditopile?
ReplyDeleteFamilia ya Maajar poleni sana.Sasa Mheshimiwa JK anatua lini kutoa ubani huko kwa Mzee Mbonde?
ReplyDeleteBora khanga imerudi kwenye misiba! T-shirt/jean kilio siyo mila ya waTanzania!
ReplyDeleteJK aliahirisha kutoa ubani kw aMbonde haswa ukizingatia anamajukumu mengi, kwenda Kwa Maajar na dhani ni muhimu zaidi ukizingatia ni rafiki wa karibu na wana fahamiana kwa muda mrefu , kwenda kwa Mbonde atakwenda tuu ,pale itakapo kwua teari.
ReplyDeleteNadhani huu si wakati muafaka wa kuanza kulumbana huyu ni nani na kwa nini kaenda huku na hakwenda kwingine.Huu ni wakati wa Kumuombea Hassan Apumzike Mahala Pema Peponi na Kuiombea Familia ya Maajar kupita katika wakati huu mgumu.
ReplyDeleteNadhani huu si wakati muafaka wa kuanza kulumbana huyu ni nani na kwa nini kaenda huku na hakwenda kwingine.Huu ni wakati wa Kumuombea Hassan Apumzike Mahala Pema Peponi na Kuiombea Familia ya Maajar kupita katika wakati huu mgumu.
ReplyDeletekwa kweli anony 9:12:47 ni wakati mgumu sana huu anaropokwa mtu ambaye jambo hili halijamfika.
ReplyDeletehata nani akienda!!!!!! hawakupenda wao kutembelewa kwa ujio wa pole za misiba, wala hawakuomba janga hili ili watembelewe na Mh. Rais imetokea tuu. Mwanadamu ufanye nini jambo hili liko juu ya uwezo wako.
mtoto wao ndio hivyo tena hapo walipo wanaona kama ndoto. Wanatamani hata wasikie sauti hata wamuone tena laki wapi.
Mw. Mungu ataipa mioyo yenu uvumilivu, subra, imani na kuelewa na kukubali. Amen
kwa kweli anony 9:12:47 ni wakati mgumu sana huu anaropokwa mtu ambaye jambo hili halijamfika.
ReplyDeletehata nani akienda!!!!!! hawakupenda wao kutembelewa kwa ujio wa pole za misiba, wala hawakuomba janga hili ili watembelewe na Mh. Rais imetokea tuu. Mwanadamu ufanye nini jambo hili liko juu ya uwezo wako.
mtoto wao ndio hivyo tena hapo walipo wanaona kama ndoto. Wanatamani hata wasikie sauti hata wamuone tena laki wapi.
Mw. Mungu ataipa mioyo yenu uvumilivu, subra, imani na kuelewa na kukubali. Amen
Protocol imekosewa.Kikwete kakaa karibu sana na mama Maajar wakati Mumewe kakaa mbali sana na mkewe ambao ndio wanatakiwa wapewe pole pamoja.Alichokiunganisha Mungu Mwanadamu askitenganishe.Naona huo mkao ni kama vile mama na baba mfiwa wametenganishwa na Kikwete walivyokaa hapo pichani.Mumewe anaonekana kama mtu wa kuja yuko mbali sana kimkao!!Au naona maluweluwe?
ReplyDeletePoleni sana familia ya Baba na Mama Maajar, Mungu awape nguvu yakuweza kupita kipindi hiki kigumu. Mungu awatangulie katika yote. POleni sana.
ReplyDeletePole Mama Maajar!
ReplyDeleteJamani kwani JK hana haki ya kwenda kutoa pole kwa mama Maajar? Acheni hizo, na sio lazima aende kwa huyo drv wa Daladala manake sasa imekuwa mtaji!Je Angekufa kwa Ajali? Watanzania acheni kuwa hivyo!
ReplyDeletewatanzania wengi akili zetu hazifikirii mbali. hapa najumuisha nami.
ReplyDeleteumeongea cha maana anony hapo juu. huyu maajar ni balozi wake na kwamba hana jinsi ni lazima. huyo mbonde ni nani kwani, au kwa kuwa.....acheni ushabiki. ya mbonde tumuachie pilato .
otherwise, ni kwamba kwenda msibani na mibano ni mambo ya vijana wa siku hizi ambao kwao watu hawana adabu.
sasa ngalia wakina mama wa kitanzania wa kweli walivyovaa kwenda msibani.
mungu alitoa naye ametwaa. hakika jina lake lisifiwe.amin/
POLE BABA NA MAMA MAAJAR.KAZI YAKE MOLA AINA MAKOSA.
Hapo Ni Nevada AU ni Dar jamani, Kama ni Dar ni hotelini sio! Kwa mtu wa mshahara wa serikali hata mudu, maana hata ikulu yenyewe haiko hivyo.
ReplyDeletewewe "Saa Thursday, November 16, 2006 1:32:20 PM, Mtoa Maoni: Anonymous" Hapo sio Vegas ni Bongo nyumbani kwa Balozi Maajar. Mbona haya ni mambo ya kawaida tu bongo. Wewe upo wapi madongo kuinama nini?
ReplyDeletebwana eee iwe msiba iwe harusi wabongo majungu jadi yetu... na huu ni wakati muafaka wa kuchambua chambua vijimambo ambavyo kwa kawaida hatuwezi viongelea.
ReplyDeletehivi weye anon unadhani watu wanalogana sirikalini bure..watu wanatajirika no wonder nchi haiendelei... kuna watu wanaisha kama ma-movie star bongo mpaka kijiko kinaagizwa toka nje ya nchi wacha mambo bwana...
halafu si unacheck mambo ilivyo posh hakuna mkeka wala msongomano kwa wafiwa sijui walala hoi wamesweka nje kwenye turubai au vipi... over misiba ya huku ughaibuni bwana....aaaah kweli mwenye pesa sio mwenzio... we unadhani JK kwa mbonde atakwendaje wakati pa kukaa hakuna...
haya bwana munyezi mungu ailaze roho ya aliyetangulia pema....
Nyie acheni bwana hapo ni loyol palm movecpicnic bongo pale kuelekea tanganyika motors.Unajua watu wengine bongo walitoka zamani ndio maana hawawezi kuangalia vizuri na kufikiria ni nyumbani kwa mtu.
ReplyDeleteHuyu balozi aliporudi Dar anakaa hapo kwa muda.
POLENI SANA FAMILIYA YA MAAJAR.MUNGU AWE NANYI HASA KIPINDI HICHI CHA MSIBA.YOTE HAYO NI MAPENZI YA MOLA KWANI HATUJUI SIKU WALA SAA.
ReplyDeleteMBARIKIWE WOTE.
jamani huu si wakati wa msiba mbona pumba zinazidi kuwa nyingi, mara nyumba, mara mkao mara kwa nini asiende kwa Mbonde, kama Mbonde angeuliwa na raia tu au mwanajeshi mngeongea kelele namna hii, Mbonde ni nani kwa Jk? Huyu mama ni balozi aliyemchagua yeye mwenyewe, Mbonde anamjulia wapi? saa zingine tuangalie reality, pili hapo inawezekana kabisa pakawa ni nyumbani kwao, huyu mama kabla ya ubalozi alikuwa ni mwanasheria mkubwa, nayeheshimika, na mwenye mafanikio ya kutosha tu hivyo hana njaa, nyumba kama hiyo ni ndani kabisa ya uwezo wake, halafu kuna yule bwana mwenye protocol za mikao labda yeye atueleze angependelea wakae vipi, mijitu mingine bwana!! halafu wa mjomba unaedai unaishi ughaibuni kama unashangaa nyumba kama hiyo inaonekana ulikotokea kwenu bongo choke mno, hayo bongo ni mambo ya kawaida sana, miaka mingi tu.
ReplyDeleteWadaku mmeshaanza kuchonga, anyways ngija niongeze udaku, hapo ina wezekana HOtelini kwlei, maan navyojua Bibi Maajar ali kuwa naishi kule Micheni Mlalakuwa ambapo nyumba yake ameipangisha, na sijaona msiba wowote maeneo hayo mbaka jana.
ReplyDeleteKuhusu JK kutokwenda kwa Mbonde nasikai kuwa huko Uswahilini kuna kizee kile kilichojitokeza kwenye gazeti, sio baba mzazi wa Mbonde ni ndugu tuu anaye taka kupata pesa kutokana na msiba huo.
Acheni malumbano na uzushi usio na faida,hapo hapo ni kwa dada yake Balozi Maajar anaitwa Dr.Hawa Eve Sinare,naye ni advocate na ana law firm yake(kampuni ya wanasheria).Kwa kifupi amesimama!
ReplyDeleteTuache sasa majungu wenzetu wamefiwa hao.
anony hapo juu umesema kweli hapo ni nyumbani kwa dada yake balozi maajar ni advocate ana jumba kama hekalu liko maeneo ya see breeze ni mwanasheria maarufu sana hapa bongo
ReplyDeleteMsiba hauna,jirani,ndugu rafiki,Poleni wafiwa wote
ReplyDeleteMchuzi, ukienda na JK huko Kusini, Ntwara kwa sheji zake, mwulize kwa nini hajasikika kuhusu Ditopile kumdito Mbonde?
ReplyDelete