Home
Unlabelled
choki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Twanga bwana kuna watu hawapewi nafasi kuna mtu Saleh Kupaza huyu jamaa ni mashine kuliko huyu Choku, kubebana tuu
ReplyDeleteHuyu kaisha kabakia kujipiga mkorogo tu hamna lolote. Ustaa ukizidi na kuvimba kichwa ndo mwisho wa mambo yote.
ReplyDeletenasikia anaondoka twanga,sasa dada yangu asha sijui itakuwaje.ndo maisha lakini,mwache akatafute.
ReplyDeleteAli Choki kaza buti baba!
ReplyDeleteMICHUZI KAMA UMESHINDWA KUWEKA PICHA YA DITO SISI TUTACHAGUA TU PICHA HALAFU TUANZE KUIJADILI KA NI YA DITO VILE
ReplyDeleteMichu, VP YANGA MAANA PRESHA TUPU HUKU.
ReplyDeletemambo ya fegi hayo
ReplyDeleteAnonymous wa Sunday, March 18, 2007 4:37:00 PM unataka picha ya Ditto ya nini? Naona una usongo kweli. Pamoja na hayo msg imeishafika serikalini kwamba Best Man wa Rais alipendelewa na amebadilishiwa mashitaka ili apewe dhamana. Kesi itakaa mahakamani kwa muda wa miaka kadhaa ili watu wasahau. Baada ya hapo hukumu itatoka kwamba hana kosa, hivyo atalipa faini kwa kuua mtu!!! Lakini mahabusu nao wamesaidia kufikisha msg serikalini. Kweli Bongo mambo mazito, ni mwendo wa kuviziana tu na kutiana changa la macho.
ReplyDeleteSareh Kupaza ndiye hasa muimbaji siyo huyo au Banza huyu hana kitu bure tu michuzi
ReplyDeleteMwacheni Achoke Du! Hao Washabiki Mumewaona Walivochoka??
ReplyDeletehahahaa duh, mashabiki wamechoka si muchezo! yaani hapo wote wako bwiii!! sio chini ya chupa kumi hivi! mcheki huyo mshikaji aliyejipigilia pull-over ya kijivu (gray), yaani anajipeleka peleka tu ila yuko hoi na bwiii.
ReplyDelete