bila lwiza mbuttu na hawa jamaa twanga itakuwa ngatwa...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kaka Michudhi hebu jamani tuseme kiukweli ukali wa Luiza ujko wapi? mi sijauona kabisa kwenye nyimbo gani kaka Kimobitel ni mkali kukliko hutyu hana lolote hata akiondoka, kwanza anaimba nje ya Mstari huyu!!

    ReplyDelete
  2. Hapo ni password ya maisha ikichanganyia, Choki anakupa "wanaumeee" Nyamwela, Mandela, Super ge wana impersonate mapanga ya wanaume to perfection...aibuuu hicho ndio kisima cha burudani bwana.

    ReplyDelete
  3. bora hapo juu umecomment kila siku mimi nasema bendi ya twanga ni safu ya kina madinda na wenzake na kama wasingekuwepo hiyo bendi ingekuwa kwenye maweee zamani sanaa kwanza hata uvaazi wao wa kishamba sana huyu kavaa hiki huyu kile ujinga mtupu,haya njoo kwenye kucheza ndo hamna kitu kabisaa huyu anageuka huyu anasogea mbele anayefuatia anakatika hakuna consistency!!! mbutu na jessica hawana sauti nzuri kabisa kabisa nasikitika kusema hivyo kimobitel ana sauti angalau... sasa michuzi kawaambie twanga wakifanikiwa kupata hata wadada wawili wenye sauti nzuri wakawatoa hao majina matupu watatawala muziki bongo.

    ReplyDelete
  4. Hata mseme nini FM Academia ndio kiboko yao, Hongera wazee wa mujini endelezeni libeneke
    Double D

    ReplyDelete
  5. Twanga na FM academia ni vitu viwili tofauti, FM muziki wao ni wa kizaire pyua na wanamuziki wao karibu wote kama sio wote ni wazaire (sijui wana workin permit) The might Twanga Pepeta muziki wao ni wenye maudhui ya kitanzania zaidi, hata ghani zao kama mugongo mugongo,twanga pepeta, ni bebe iwe, mdodo wangu n.k ni za Kitanzania au zimetoka katika ngoma za kitanzania na kwa taarifas yako bendi hizi huwa haziajiri wageni kwa sababu vijana wa kitanzania wako wengi sana kwenye fani hii

    ReplyDelete
  6. Hao mbona kama wacheza michiriku?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...