mmoja wa wadau wakubwa wa blogu hii nimemkuta akiwa akiperuzi mambo...watu kama hawa hunitia moyo sana katika kutafuta na kuweka vituz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Huyo mdau anaonekana kama kachoka kweli macho yake kama katoka usingizini au anataka kwenda kulala.Mwe bulogu imen'chosha!

    ReplyDelete
  2. Wewe michuuzi vipi? Any way huyu dada umemtoa kwa moyo mweupe au kwa kupendelea? mbona mimi naperuzi sana blog yako lakini hunitoi? Jitahidi basi nasisi ututoe!!!!! Ila! Mh, yuko bomba nae!!

    ReplyDelete
  3. Mdau bomba sana hebu nipeperushie email address yake.

    ReplyDelete
  4. We dada, bosi wako anajua unaperuzi kwenye blogu ya Isa Michuzi nyakati za kazi?..Usinyee kambi, chapa kazi dada!Ohooo...

    ReplyDelete
  5. wana diaspora, ni kweli au wanatudanganya tu?
    NATURE In praise of the 'brain drain'

    ReplyDelete
  6. bwana Michuzi
    Kuhusu wadau wakubwa kwakweli tupo weengi sana wala usihofu ,mimi nipo Canada lakini kila ninayemjua (iwe Tz au nje ya tz) tunapowasiliana anasema kitu cha kwanza kufungua katika komputer zao kila asubuhi ni hii blog yako aisee
    Hongera and keep it up with your blog!

    ReplyDelete
  7. Michuzi nawe uanze kufichua viongozi wenye tabia chafu kama dada Chemi alivyofanya. Cheki http://swahilitime.blogspot.com
    ni mazito kwa kweli!

    ReplyDelete
  8. Michuzi vipi ile picha ya beach wameruka juu inamaana mi hunisikilizi sio? au mimi sio mdau? au mimi kwakuwa Chelsea? au mimi kwa kuwa Yanga? au mimi kwakuwa NCCR? au mimi kwa kuwa ... haya weka ili nisiseme mengi!!

    ReplyDelete
  9. Inapendeza pia unapotoa mshindi wa mashindano yako unayotoa ili wote tupate kufahamu na mshindi kujulikana!unapoyaacha hwani tu inakuwa hayana maana sasa ya kuwa shindano!

    ReplyDelete
  10. Kwa kwlei na mi na second ile picha ulipiga zenj ya vijana wamruka juu. Kwa kweli ile picha ni 'one of the best photo's I've seen'. Tafadhali ipost tena upya tupate uhondo. Hongera kwa kazi nzuri 'Kijana wa Anfield'

    ReplyDelete
  11. Dah huyu dada kachoka sana au kesha kunywa mipombe..yani hata hajapendeza na usingetoa picha hii noma sana

    ReplyDelete
  12. duh raia kwa ku-dissolve, yaani wasione dada wa kike washamind!! Huko mliko wazee mko so low class that you can't get them dammes nini?? OK huyo sisteri mi namfahamu kwa kuwa mara chache nimeshapita ofisini kwake kupata huduma. Anaitwa Kay na e-mail yake ni jsckeizer@yahoo.com

    Na wewe Jesca na mwanzako anon mnaoomba picha ya beach si bado iko kwenye blog kwa nini msiangalie rekodi za nyuma ili msuuze roho zenu!?? Misupu hebu achana na hao Wagagagigikoko hawa wanaouliza majibu. Jamani time is money - for michuzi and for all of us his readers!!!

    ReplyDelete
  13. Mbona mwamsema amechoka, macho hivi, atafukuzwa kazi. Nani kawaambia yupo kazini au mmeshakua majaji nyie. Picha mbaya sijui nini. Mbona hamna zuri kwenu?

    Kuweni optimistic people.
    JUST FOR TOUR INFORMATION OPTIMISTIC PEOPLE HAVE LOWER RISK OF CARDIOVASCULAR PROBLEMS

    Mtakufa na viroho vyenu mapema

    ReplyDelete
  14. Nyie anonys wa 10.53am na 12.28pm inaelekea mna macho kumchuzi ambayo yanawafanya mshindwe kutofautisha mtu aliyechoka na mtu ambaye ni bomba. Huyo dada macho yake yanaita njoo njoo na midomo (lips zake)yake kwa vijuisi ndiyo yenyewe hata wazungu wanachonga midomo yao kwa sindano ili wawe na lips kama hizo.

    Mna haja ya kununua miwani ili iwasaidie kurekebisha hayo macho kumchuzi yanayowafanya mshindwe kutofautisha aliyechoka na liye bomba. Angalia sura zao mbaya kama Remmy!!!!! Msonyo mrefuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 01, 2010

    MI SINA MANENO BWANA, KWANI HUYO DADA ANAONEKANA NI MDADISI NA MREMBO, TEEEH TEEEH TEEEH

    LISAKAFU, EDWIN

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...