Home
Unlabelled
suruma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi..tuwekee picha inayoonyesha jinsi ulivyomkumbatia huyo mama.Hili tukusaidie kuamua hiyo kesi.
ReplyDeleteHuyu mama ni mtu mzima sana. Yupo BBC tangu mwaka 1978 (kama nimekosea kidogo S.Yakubu atanisahihisha). Mimi huwa napenda kumsikia pale akisoma maoni (ya barua) kwa kujibizana na mtangazaji mwingine (kama Ali Saleh-wa London) au pale asomapo habari kwa ufupi wakati muda wa matangazo yao unakaribia kwisha. Nasikia burudani kweli!
ReplyDeleteHivi ni mtz (Zenji labda),mKomoro au mkenya (mMombasa)? Ni mtu mzima ila bado "anadai" sana na ana "pumzi" sana ktk kutangaza.
Bravo mama yangu!
Tuwekeeni basi kwenye youtube tusikilize huo uroda. Wengine BB London ni nwes tu ndio tunapata....Any link kusikiliza redio yao ya kiswahili (sio news tu) I know how to get that
ReplyDeleteYeah...bongo muelewe umuhimu wa kufanya mazoezi, kula vizuri na kumaintain your weight.
ReplyDeleteAngekua bongo mngesham right off huyu na kumwita mzee wakati hapo huku tuliko yeye ndio kwanza saa sita mchana
Kila siku kwenye blog autasikia mtu mwenye mika 30 hajaolewa au kuoa basi tabu mzee huyona. Miaka hiyo huku demu kwanza ndio market inaanza wakati bongo mtu wa umri huo antakiwa kuwa na wajukuu. ...bongo bwana basi tu...
Culture yetu inaforce watu wazeeke. Diana Rose kacelebrate her 63 birthday lakini bado anadai.