mwandishi wa michezo wa mwananchi na citizen majuto omari (kati) akipozi na mwenyekiti wa african stars papaa baraka msiilwa (kulia) na mdau toka ughaibuni jina nimesahau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2007

    Huyu wa kushoto ni Omary Baraka Wakati tuko kinondoni Seco. tulikuwa tunamuita wa kigoma vipi kamuona mshikaji wake Azizi Mbezi?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 07, 2007

    Michu, Huyo jamaa wa upande wa shoto ni mdogo wake huyo Papaa Baraka Msilwa, nakumbuka tulikuwa tunamtania na kumuita Omari Kigoma, ikiimanisha Kigoma mji walikotoka. Familia yao inaanza hivi wa kwanza ni Baraka, wa pili ni Asha na watatu ni Omari.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 07, 2007

    4:15 Samahani. Wakwanza sio Baraka na katika familia yao Omary ni wa mwisho kuzaliwa. Wakwanza kaka yao anaitwa Mayaula.
    MM

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 09, 2007

    Duuu hivi huyo wa katikati hapo alikuwa jeshi la mgambo?kachukua pozi fulani,very ........

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 09, 2007

    huyo jamaa ni Omary Baraka a.k.a Omary Kigoma enzi alikuwa bonge la "footballer" lakini basi kwenye miti hakuna wajenzi

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 10, 2007

    Eeee bwana Omari is a cool brother yaani mshkaji ni poa sana hana mambo mengi kama vijana wengi wa ughaibuni wanaorudi hapa mjini.Halafu demu wake mzuri kweli kweli katulia yaani ni african woman indeed. Hana majivuno ni very intelligent nilisoma nae Arusha alafu ana sura na miguu mizuri, rangi nzuri,mrefu na tabasamu lake safi sana. Utaoa lini mshkaji maana kama huoi hapo nipe address maana siku hizi simuoni ? Alex

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...