mdau kachukua jumla mmoja wa mapacha hawa. tatizo sikumbuki ni yupi kati yao...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2007

    kachukua aliye karibu na bega la kushoto.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 07, 2007

    Hawa watoto ni ndugu zangu hawa duh kweli long time yaani sijawaona na nikijaga Bongo inakuwa misele mingi kiasi kwamba unaondoka hata baadhi ya ndugu huwaoni mambo ya kukesha Garden Bistro, Jacky's, Millenium, Rose Garden,Sea Cliff, Bahari, Paradise Hotel, Much More na sehemu kibao. Hongera sana watoto wa Mzee Ru...... Na wewe mshikaji uliechukua mali treat my sister with respect, usilete gozigozi yaani ukileta zako za kuleta nitakupa kibano mwenyewe nikija Bongo

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 07, 2007

    Kweli mdau kaibua ila michu kwa ninyi wataalamu wa kupiga picha naona picha hii ina kasoro kuu moja niliyoiona.

    Nayo ni mapacha hao kukenua meno kama wanapiga mswaki badala ya KUTABASAMU.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 07, 2007

    isee wazuri kweli hata meno yametulia kwa kweli.

    ReplyDelete
  5. Duuh sasa huyo mdau kwanini? asiwaoe wote ajui kama kufanya hivyo anamsononesha pacha mmoja na vile vile kumtenga toka ntoke mwenzie?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 07, 2007

    kinachoni furahisha ni wabongo maneno wewe wapili hapo juu hivi kwanini wabongo mhhh hata siwezi kumalizia maana nacheka tu hapa ngoja nisije fukuzwa kazi na mzungu hivi mhhh haya

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 07, 2007

    duh! si mchezo, watoto wa mzee Ru..walikuwa gf zangu zamani. Hongera mdau

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 07, 2007

    sidhani kama ni tatizo la mpiga picha itakuwa ni hao mabacha hawajui kutabasam

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 07, 2007

    Jamani Naila na Ramla, Lol ni longtime nyinyi nimewamiss Naila maskini nakuona na shemeji hongera sana kwa kupata mume.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 08, 2007

    Ronaldinho

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 08, 2007

    Duh, wewe anon wa july8 12:18, punguza kuangalia soka.....lakini unaonekana uko makini kweli kweli!! ha ha ha ha

    SteveD.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 09, 2007

    duh michu!wapelekwe mis utalii hao.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 10, 2007

    hahahaha eti Ronadinho...............ni kweli watoto wana MENO MENGI sana ila wamependeza.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...