Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2007

    Vipi michuzi hiyo mikono mbona...... kwanini leo huikunjii kifuani kama ulivyofanya juzi kwa wale kina dada au... au hapo huogopi tukisukutua vinywa????????????????

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 07, 2007

    Michuzi mbona mguu wako wa kuli umeunyanyua kiaina? huyo mama alikugusa pahala pabaya kwa bahati mbaya nini? au uliunyanyua kujiprotect tu?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 07, 2007

    michuzi kwa midude mikubwakubwa hatukuwezi, mikono inahama yenyewe kutoka kifuani bila kujijua.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 07, 2007

    Michu nisalimie ma mjata mwambie mie mzima kabisa najichanganya na wababe wa ulaya mapambano mtindo mmoja. Mpe hi na Chemi nawatakia wote kazi njema na mwenyezi mungu awafanyie wepesi filamu mambo yaende vizuri

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 07, 2007

    E bwana michu inaonyesha da Chemi alizikumbuka Konyagi sana naona hapo anaonekana tayari zimemchukua. Ndio raha kuwa nyumbani Unapata kitu roho ilikosa.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 08, 2007

    Picha nyingi za kina dada unaopiga nao lazma uwakumbatie hivyo?na wanakuwa wawili lazma, je? umeoa wanawake wawili nini, yaelekea bila kupiga viwili hutosheki, haya bwana hongera kidume!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 08, 2007

    Hicho "kipepsi" cha Mama Mjata kimekaa kwa amani tu ila Michu ndio mcheche wake akanyanyua mguu. lakini hao wanawake wawili na wazimia sana ni washoka!

    ReplyDelete
  8. Mhh huo mkono! ma Tecla anachokoza kwa mbaliii kijanjaaaaa jinyongeni tu

    ReplyDelete
  9. Nice Pic! Ila sijui vumbi la Dar, ndo kwanza nimeshuka kwenye ndege na allergies zikanishika, nikakuta macho yanavimba! DUH! bahati nzuri sikuwa na scene siku hiyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...