miss kinondoni 2007 rachel akipozi na mgeni rasmi naibu waziri wa usalama wa raia mh. aboud (kati), rpc kanda ya kinondoni afande rwambow (kulia) na mwenyekiti wa kamati ya miss tz mh.prashant patel usiku huu mileniam tawa kijitonyama dar

rachel akipokea zawadi yake baada ya kushinda taji la miss kinondoni 2007

msanii malraw alikuwepo 'kubembeleza' umati

mdau toka birmingham tulikuwa naye

tano bora ya miss kinondoni 2007.
baadhi ya watazamaji kwenye miss kinondoni 2007

miss kinondoni 2006 nadia akimvisha taji rachel

malkia wa urembo wa kinondoni mwaka huu akila pozi na washindi wengine watano bora. mshindi wa pili ni lilian abel (pili shoto).
mashindano hayo yalishuhudia vioja pale utawala wa millenium tawa ulipojikuta una shughuli mbili kwa wakati mmoja - miss kinondoni 2007 upande mmoja wa pazia ambapo fm academia na wasanii kibao walitumbuiza, na upande wa pili wa mzalendo pub kulikuwa na uzinduzi wa filamu na akudo sound walikuwa wakitumbuiza.
tafrani hiyo hata hivyo ilikuja wekwa sawa na walinzi wa amani ambao waliwaomba wazinduzi wa filamu wangoje wenzao wamalize ndipo nao waanze. ilikuwa soo kiasi kwani bendi mbili kupiga wakati mmoja na sehemu moja huku watu wa mamiss wakijaribu kupaza sauti mambo yao yasikike.
wengi waliulaumu utawala wa millenium tawa kwa kioja hicho ambacho laiti kama busare isingetumika chupa zingerushwa lazima.






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 38 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2007

    Hmmm! Mie yangu macho tu! Eti ponjoro ndio miss Kinondoni!!! Kama mie ningekuwa mmoja wa majaji hata kumi bora asingekuwemo!! Siuoni huo uzuri wake hata kidogo!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 07, 2007

    Sasa KINO Imeishiwaa Imetoa Baiya?? Kaziiiii Kweli kweli

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 07, 2007

    Jaquline aka LIsa aka Kimobitel nakuona hapo au nakosea?.

    Congratultions to MIss Rachel, u really deserve it , nilikuona toka Miss Dar Indian Ocean na nili kukubali kam wewe ni mshindi (Ingawa wabaguzi wengi wata sema wewe Mhindi).

    Kwa ujuma waandaaji wa show walikuwa na uandaji mbaya , VIP seats zilikuwa hazitoshi kupelekea wengine kukosa viti , huku tumetozwa sh 40,000 .

    Uongozi a Millenium Tower ulitoa vihoja pale ambapo hata mwenye ukumbi alikuwa hajui nani kakodi ukumbi na kwaajili shughuli gani, kiasi cha kusababisha , kwa siku moja bendi mbili zitumbuize kwa wakati mmoja , huku wengine tukisikiliza warembo wakijibu maswali.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 07, 2007

    KINONDONI MWAKA HUU BURE KABISA HAMNA KITU...

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 07, 2007

    JAMANI ANAJUA KISWAHILI MFRESH LAKINI MAANA MAMBO YA KUMPELEKA MTU ANASEMA BANA MIMI DIO MISS KINONDONI NIMESHINDA TOTO YOTE REMBO YA PALE DARISALAMA HATUTAKIIIIIIIIIIIIIIII HIYO NITAKUJA KUSHIRIKI MWENYEWE NA SHARP YANGU YA MICHELEN MKINIUZI

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 07, 2007

    Ubaguzi wa nini sasa?Acheni upuuzi na sera zisizokuwa na mpango.Yeye si Mtanzania?na kama sikosei ameshawahi kutuwakilisha vyema tu katika mashindano ya kimataifa.Watu wengine wanakuwa na chuki za kipuuzi,sawa unaweza ukawa unawachukia baadhi ya watu wa asili yake lakini chonde chonde jamani.Huyu mtoto anaongea kiswahili fasaha utafikiri kafundishwa na mzee Mwinyi vile.
    Michuzi siku zingine soma haya maoni ya wadau wako maana wengine ni watu wenye chuki na wabaguzi wa rangi na hawastahili kupewa fursa ya kumwaga chuki zao.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 07, 2007

    sasa huyu ponjobo wa nini atoke huko akashindane kwao india. Hata kama anavigezo aende india kwao, sujui oman.

    ReplyDelete
  8. Jamani nchi nyingine zikijitahidi kuondoa rasism sisi tanzania ndo tunaipa bendera, kwani muhindi sio mtu. yeye ameshinda kihaki.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 07, 2007

    Mjue kiyama sio mbali eti leo mweusi ana zungumzia lugha ya kibaguzi!Wakati tumeozoea mweupe kumbagua mweusi!!!
    India hawa ubaguzi leo Mtaliano Mrs Sonia Ghandhi anaongoza chama cha congress kinacho tawala India!Tanzania mtakubali mtaliano aongoze CCM??
    Acheni Ubaguzi Nyie !!!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 07, 2007

    Mimi mijitu inaniudhi sana sanaa hivi mtaacha lini kuwa wanafikii hawa watu wanavyowadharau nyie msingekuwa wanafikiii natoa hoja hakuna wakutuninyima na hii ni blog huru ya kutusaidi tutoe madukuduku yetu mmesahau yule kaka yetu juzi juzi alienda kutaka kupanga nyuma muhindi akamdharau sio na huyu muhindi alie changia hoja kama sio wahindi tusingefika tulipo watanzania tena mzuka unanipanda ngoja niishia hapa

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 07, 2007

    Acheni hizo!! Nyinyi mnafikiri mmatumbi toka bongo anaweza kushinda Umiss India huko India? Nafikiri kuna haja ya kuweka sheria kwamba washiriki wote wawe wanajua kuzungumza kiswahili fasaha na pia wawe ni raia wa Tanzania huyo Mhindi si ajabu ana uraia wa India, UK, US, Canada na kwingineko. Wahindi tunawajua!!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 07, 2007

    Wewe hapo juu unajua unachoongea au basi tu hivi gulamali alikuwa mmakonde au dewji junior ni mchaga uoni mbona ni wa Asia na tumewapa kura CCM sio sasa sisi sio wa ITALIANO ndio maana hatuwezi kumpa kura MITALIANO halafu huyo sonia ghandhi uoni jina lake tu umeona MITALIANO anaitwa Ghandhi

    ReplyDelete
  13. huyu sio yule aliyeenda kushiriki miss earht kipindi fulani hivi??..au nimemfananisha??...hehe..wish her good luck

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 07, 2007

    Huyo Gulamali na Dewji mmewapa kura au mmewauzia kura? msijidanganye kama nyie hamwabagui wahindi basi wao hawajiweki sawa na nyie. Ulishawaona wanishi manzese anu yombo?? Au wapo wanatusaidia kusafisha BOT?

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 07, 2007

    Breaking news zangu hapa hapa nimefanyiwa ubaguzi na muhindi dakika hii ametoka department nyingine amenipita fyaaaaaa ameenda kumuuliza swali mzungu wanatuona sisi wajinga sana hawa watu mimi nalia jamaniiiiiiii uwiiiiiii

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 07, 2007

    Mibaguzi haina rangi wala kabila...na ninachukia sana hii tabia,na cha ajabu yanayoandika hapa yanaishi nchi za wazungu na ni ya kwanza kulalamika inabaguliwa na wazungu hata kama sio kweli lakini hapa ndio imeonyesha jinsi yenyewe yalivyo,acheni tabia za kishenzi ng'ombe nyie mliokosa mikia na ukibaguliwa na mzungu haimanishi wazungu wote ni wabaguzi same kwa weusi sio wote wabaguzi....ubaguzi ni form of ignorance & insanity mnahitaji kutibiwa

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 07, 2007

    jamani sio ubaguzi lakini huyo anaiwakilisha vp tz? mwafrika lazima ujivunie rangi bwana sasa huyo.............haya

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 07, 2007

    SO WHAT...... IF SHE IS BEAUTIFUL AND SHE SPEAK SWAHILI AND IS A BONGO GIRL. WELL LET HER BE MISS 2007..

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 08, 2007

    Jamani watanzania tukue kidogo.yeye ni mtanzania na kazaliwa Tanzania na amekulia hapo,sasa haina haja ya kumuita gabachori wakati yeye ni mzaliwa wa Tanzania.Nadhani hii tabia inafanya hata wao pia warudishe ubaguzi kwetu mara tatu yake.Mimi hapa pia ni msomali kwa baba na mama lakini nimezaliwa bongo na kukulia bongo but sometimes if am with my fellow Tanzanians i feel am Tanzanian but still some ppl will call me msomali eventhough i dont like it but am used of it.So we r all Tanzanians tusibaguane kwa rangi au utaifa kwani wote sisi ni watanzania na tunaongea lugha moja ya kiswahili.Mdau Malmö,Sweden.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 08, 2007

    Yesu karibu anakuja duniani!Mweusi anabagua????Maajabu maana weusi hawana hulka ya ubaguzi ila inawezekana dunia inabadilika,wamesha anza kupatika "makaburu weusi"

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 08, 2007

    Huyu binti uhindi wake ume cost!nafikiri angepaka rangi nyeusi usoni mwake labda angeonekana Mtanzania zaidi,asili yake,rangi yake unamfanya asiwe mtanzania eti kwa kuwa ana asili ya kihindi!Pia kama kuna mwafrika raia wa Ulaya akitaka kugombea u miss huko basi nae apake rangi nyeupe ili anonekane mzungu!kuna mweusi mmoja huko ufaransa alikuwa kuwa miss france lakini hajawambia mweusi!
    Mie nawashauri mabinti wote weupe lakini raia watanzania wakitaka kugombea miss Tanzania kwanza wapake mashizi kwenye nyuso zao ili waonakane watanzania maana asili yao na weupe unawaponza!!

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 08, 2007

    chini kabisa ya moyo wangu nahisi "umiss" ushafika misho sasa.Kwangu mi suala sio uasili wa huyo mshindi,bali urembo wake sijauona labda computer nitumiayo ina matatizo. Nimetembelea ka faza kidevu pia nimeona mabinti ambao sijui wanafanya komedi kwenye umisi au wako siriaz!
    Imekuwa kama bono flava,ilimradi una hela ya kuingia studio

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 08, 2007

    Mtasema sanaaa lakini hatumtaki muhindi miss tanzania Michuzi funga topic hii sasa kwanza wote wanafiki wabongo kwakujikomba komba mpaka siku ya wakute ndio mtajua ukweli wake halafu shhhhhhhhh wote

    ReplyDelete
  24. AnonymousJuly 08, 2007

    Jamani mimi nimeishi udosini miaka takriban mitano. Haitowezekana hata siku moja kama ninge zaliwa india na kuongea lugha zote za nchini humo Wahindi waruhusu mweusi agombee japo umiss kitongoji. kwa hiyo wanao exress feelings zao kwa kuto furahishwa waacheni waseme that is a fact Tanzania sio USA wala SA.Mwisho nasikitika kusema kuwa sita shangaa huyo binti akawa Miss Tanzania 2008 subirini mtaona

    ReplyDelete
  25. AnonymousJuly 08, 2007

    Ubaguzi, ubaguzi, ubaguzi.....neno hili lilitakiwa lizungumziwe kabla ya mwaka 1961(kabla hatujapata uhuru).......lakini kama mpaka leo tunalizungumzia inabidi tukatibiwe.
    Maana tukimaliza kuwabagua wahindi tutaanzana wenyewe kwa wenyewe; huyu mngoni, mhaya, mpare....n.k Haitaishia hapo itakuja huyu mhaya wa Kanyigo au mhaya wa Kamachumu...n.k. Na bado tutazidi kubaguana hata kwenye koo na familia zetu.
    Huyu Miss Kinondoni akishinda Miss Tanzania ni kwamba atabeba bendera ya Tanzania na sio ya India au nchi nyingine.........na mimi kama ni mtanzania nitam-support mtu yeyote atakayelitangaza jina la nchi yangu popote duniani bila ya kujali mtu huyo ana rangi gani.
    Kutokana na ufahamu wangu wa mashindano ya U-Miss ni kwamba Rachel atakuwa ameshinda kwenye vigezo vyote ikiwa ni pamoja na kujieleza. All the best katika kupigania taji la Miss Tanzania.

    ReplyDelete
  26. AnonymousJuly 08, 2007

    huyu dada ha deserve kuwakilisha taifa letu,hapa hakuna ubaguzi ni suala la HAKI SAWA KWA SOTE!!! JE DADA WA KITANZANIA ALIYE ZALIWA INDIA NA ANAZUNGUMZA LUGHA YAO,JE JAMANI DADA HUYO ATAWEZA KUSHINDA TAJI LOLOTE HATA LA MTAA KAMA YEYE SIO MUHINDI????KWA NINI DADA HUYU APEWE!!! NYIE MSHAWAHI KUMUONA MTU YOYOTE BLACK HATA KAMA KAZALIWA INDIA AKAKWAMBIA YEYE MUHINDI NA ANGALIENI WAPUUZI HAWA WANAVOPENDA KUNG'ANG'ANIA MATAIFA YA WATU.....

    ReplyDelete
  27. AnonymousJuly 09, 2007

    Kama huyu dada ha-deserve kuwa Miss Kinondoni.............kutokana na maoni ya wengui, hii inasababishwa na rangi yake. Je, majaji waliomchagua ni wahindi?
    Ubaguzi ni laana na tusipoacha tutarithisha vizazi vyetu.

    ReplyDelete
  28. Lundenga na Team yake kwisha kazi jamani, mie sibagui lkn namba mbili ndo kana mvuto zaidi, yaani yuko bomba, alistahili kushinda jamani huyo no.2 mwenye kuvaa number 11. Huyu mhindi hajanifurahisha hata kidogo, inaelekea wadhamini wa mpambano huu ni wahindi na jamaa wa karibu na huyo ponjoro aliyeshinda, lkn powa tu ndo ishatokea!! Kinondoni 0 kweli huyu mhindi angeenda kugombania miss upanga huko!!

    ReplyDelete
  29. AnonymousJuly 09, 2007

    MI NAONA MISS TANZANIA COMMITTEE WAKO DESPERATE BAADA YA KUONA WAMEFUNIKWA NA MISS UNIVERSE TANZANIA.

    HUYO MHINDI HAFAI KUWAKILISHA TANZANIA KWENYE MASHINDANO YA UREMBO.

    IT'S RIDICULOUS !!! NI KITUKO HASWAA!!

    IMEFIKA WAKATI SASA WATU WEUSI TUPIGANIE IDENTITY YETU. SIJUI NI KINA NANI WATAKUWA MAJAJI MISS TANZANIA LAKINI HUYU MHINDI HATA KAMA ANABEBWA NA WENYE PESA, ANA KIINGEREZA KIZURI, AMESOMA, NA ANA VIGEZO VYOTE VYA KUSHINDA MSIMPE UMISS TANZANIA. FULL STOP!!

    DON'T BE NAIVE MY FELLOW TANZANIANS. UBAGUZI UPO NA UTAENDELEA KUWEPO. IT'S IN SUBCONSCIOUS MIND OF ALL WHITE PEOPLE TO LOOK DOWN ON BLACK PEOPLE. HATA KAMA USONI ANACHEKA NA WEWE NA KUJIFANYA ANAKUTHAMINI. AKIWA CHEMBA NA WENZAKE WANAKUNG'ONG'A.

    HATA SISI WEUSI PIA NI WABAGUZI. REACTION ZILIZOONESHWA HAPA KWENYE BLOG ZINATHIBITISHA KWAMBA TUNA UBAGUZI NDANI YETU. NA TUSIONE AIBU KUWA WABAGUZI WAKATI TUNABAGULIWA.

    ETI JAMANI, TANGU LINI WEMA KWA MTU ASIYEKUJALI IKAWA DAWA?

    ReplyDelete
  30. AnonymousJuly 09, 2007

    RACHEL NDIO ALIKUWA MWAKILISHI WETU MISS EARTH NA ALITUWAKILISHA VIZURI INGAWA HAKUSHINDA!! MIE NAMJUA PERSONALLY AMEZALIWA MWANZA AMEKULIA MTAA WA RUFIJI,AMESOMA SHULE ZA WAZAWA,ANAZUNGUMZA LUGHA ZIFUATAZO KWA UFASAHA KABISA KISUKUMA,KISWAHILI NA KIINGEREZA!!! KIHINDI HAWEZI KABISA.KWA SASA ANAISHI KARIAKOO KATIKA MAISHA YA KAWAIDA KABISA YA KILA MTANZANIA.IF JUDGES AND COMITEE VOTE "YES" FOR HER WHY NOT US? RACISM IS FORM OF IGNORANCE AND INSANITY.....!!! MUNGU IBALIKI TANZANIA WABALIKI NA WATU WAKE

    ReplyDelete
  31. AnonymousJuly 09, 2007

    Huyo dada kama atachaguliwa kuwa Miss Tanzania na ataenda kuwakilisha nchi basi wampake mashizi akiulizwa huko aseme huko Tanzania wanataka ma miss weusi weupo hawakubaliki,maama hapa tatizo ni Rangi yake kwa hiyo ni bora akabadilisha rangi yake ikawa nyeusi huenda atakubalika.Kwa hiyo tukubaliane jamani tatizo la huyo binti ni RANGI YAKE sio uraia wala kuzaliwa kwake Tanzania?

    ReplyDelete
  32. AnonymousJuly 09, 2007

    Huyo Mhindi akabadili rangi nyeusi haraka sana kabla ya kushiriki miss Tanzania awe mweusiiii!Halafu kuanzia sasa kwenye form za kujiunga waweke viegezo ya rangi ya ngozi,kama mhindi,mzungu nk marufuku kushiriki u miss kwa kuwa wao weupe!
    Tuwaambie nyie mnatubagua basi nasi tuta wabagua!
    Kama mtu anataka kushiriki u miss kama yeye mweupe abadilishe rangi ya ngozi yake awe mweusi!
    Halafu tutangaze kimataifa hii ni sera ya nchi yetu Tanzania!
    Pia hakuna mweupe yeyote kuishi Tanzania ama kupewa uraia wa Tanzania hii ni nchi ya weusi tuuu!Pia misaada ya weupe kutoka ulaya hatutaki tutaka misaada ya weusi tu!Wazungu marufuku kuja mbuga za wanyama zetu tuta taka watalii weusi tu!Wawekezaji weupe hatuwataki tuna taka wawekezaji weusi tu.Magari yataketengenezwa na weupe kutoka japan na ulaya hata yataki.hatutaki watu weupi kabisaaaaaa!
    Nafikiri kuna watu wenye fikra za kama huyo annoy 10.09 sijui anaishi dunia ipi!Huenda ana ugonjwa ya ubaguzi

    ReplyDelete
  33. AnonymousJuly 09, 2007

    Cha ajabu huyu binti ni msukuma sio muhindi.Kwa hiyo sijui watu watampinga kwa kuwa hafanani na wasukuma wenzake.Sio utani someni utambulisho wake au wasilianeni na watayarishaji wa Miss Kinondoni au Brother Michuzi anaweza kusaidia kuondoa utata huo wa watu kumbandika uhindi.

    ReplyDelete
  34. Acheni unafiki palipo mweusi na mweupe tupende tusipende popote duniani kuna ubagauzi wa aina fulani hata kama mtu hasemi kiwazi.

    Inapofika kwenu issue inayohusu taifa kila mtu angependa mtanzania halisi ashike nafasi hiyo. Kama kuna mashindano kati ya watanzania mtu angependa kabila lake lishinde inapofika pia kwenye family kama nduguyo yuko kwenye mashindano fulani ungependa nduguyo ashinde it is natural na si dhambi sasa mnaficha nini na huu ndioo ukweli?

    Halafu mjue kwanza siku hizi kuingia kwenye mashindano hayo ni pesa yako sio uzuri. Tuna mabinti wazuri sana kuliko huyo dada hapo lkn hawana uwezo.

    Jamani huyu mdada hata kama angekuwa mweusi mi naona uzuri wake haufikii kiwango... aah ni acheni niseme

    ReplyDelete
  35. AnonymousJuly 09, 2007

    Kuongea kisukuma, kuishi kariakoo na rufiji bado ukweli uko pale pale ni mhindi.Utamwelezaje mtz wa kawaida wa kijijini akuelewe? This is happening all around Obama ni mkenya mmarekani lakini hata kuwa rais ng'o kwasababu si mweupe. mfano mwingine ngojeni dewji atake kugombea urais muone pamoja na kwamba babu zao wametokea singida. Hivi ni vitu ambavyo tunalazimisha kuvifumbia macho kidiplomasia lakini mioyoni ukweli tunaujua. Mfano mwingine wa mwisho hapa US mtoto akizaliwa hapa pamoja na kuitwa raia lazima akafanye test ya kiingereza unafikiri kwanini wasi wave hiyo test wakati wanajua mtoto ni wao na hajatoka nje ya nchi. Angeitwa rachel nkwengulila labda

    ReplyDelete
  36. AnonymousJuly 10, 2007

    Wewe anon mtoa maoni wa July 9, 2007 12:24:00 PM EAT YOU ARE STUPID!!

    You are applying logic to emotional issues. You are deceiving yourself if you ever think Logic is more powerful than emotions. You are in denial.

    Kwa taarifa yako maamuzi mengi ya binadamu ni emotional, wala sio logical. Mtu akishaamua kwa hisia zake ndio anatunga logical statements za kuwananga wasikizaji waone ana busara.

    ReplyDelete
  37. AnonymousJuly 10, 2007

    Anon July 9, 2007 12:24:00 PM EAT umenifurahisha sana katika watu wenye Akili hapa duniani wewe ni wa pili baada ya mimi maana nilikuwa nafikiri kumjibu huyo kwanza nilijibu michuzi amenibania msg yangu

    ReplyDelete
  38. AnonymousJuly 11, 2007

    UPUMBAVU MTUPU.."MAMBO YA BONGO HOI..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...