Napenda kutoa shukrani kwa maombi yenu wote kwa niaba ya familia Mzee AdamMwakanjuki. Kwa kudra za Mwenyezi Mungu hali ya mzee inaendelea vizuri
Asanteni sana, Mbarikiwe
Aliko

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Poleni sana Aliko kwa kuuguliwa, mwenyezi mungu atamponya....
    Dadako, Tampere, Finland.

    ReplyDelete
  2. shukran kwa update ya hali ya mzee ndugu Aliko, ninaamini atapata nafuu mapema inshallah- Mlewa.

    ReplyDelete
  3. Aisee tunashukuru sana kama mzee wetu anaendelea vizuri.
    Bob-Tampere

    ReplyDelete
  4. Tupo wote Mzee Aliko katika kiindi hiki ha kumuuguza Mzee wetu,
    Martin

    ReplyDelete
  5. Tunashukuru kwa taarifa Aliko,poleni sana.-FAU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...