mama wa kwanza salma kikwete kala krisimasi hii na watoto yatima kwenye vituo mbalimbali vya dar vikiwemo vya kurasini na mburahati. pichani yuko kituo cha watoto yatima kurasini kabla ya kuelekea cha mama theresa cha mburahati

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mama wa Tanzania, tunakushukuru sana kwa kujituma kwako. Unaonyesha mfano mzuri sana kwa kina Mama wengine watakaokuja hapo baadaye. Mama yangu hongera sana na ninajivunia kukuita Mama japo mi ni mtu mzima lakini uwajibikaji wako ni wa kuigwa kweli!

    ReplyDelete
  2. That is so nice....Mungu akuengezee siku ...unajituma sana...na mfano wako ni wakuigwa na viongozi wengine ...japo wew sio mkisto lakini umetoka na kutembelea hao watoto siku hii...mfano wa kuigwa

    ReplyDelete
  3. meno za kuonyesha ni tofauti na zile za kutafuna!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...