Salaam za Mwaka Mpya kwa wadau wote wa Blog hii.Ninawatakieni kila la kheri na mafanikio katika mwaka mpya ujao.Na sasa na sie Liva tutabeba PL baada ya miaka 20 - hatuna wasi na CL kwani hiyo ndio kawaida kuenda mpaka Fainali Moscow safari hii - miaka minne Fainal 3!!!!!!!!!!!!!!!

Pichani nikiwa kwenye Jukwaa la Kop 2002 nilipoenda kuona Mechi na newcastle ambao tuliwanyuka 3-0 na mfungaji akiwa Michael Owen. Hili ndio Jukwaa la wakereketwa hasa wa Liverpool FC maana ukikosea ukajiingiza hapo ukiwa umevaa jezi ya timu pinzani basi utaipatapata maana unaweza usimalize kuagalia mechi na ukateremshwa.
Ni mimi Mkereketwa wa kutupwa No.1 wa Liverpool FC hapa Zenji. Murad Vellani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Safi saaaaaana Murad!! Nimeipenda post yako!

    Mwaka huu lazima tufanye mambo!!

    Happy New Year !

    ReplyDelete
  2. Mtani leo naona umechomoa kwa Derby.Kha kweli tutafika tu.Wacheni kelele na kujisifu ligi ngumu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...