mwenyekiti wa chama cha wananchi cuf mh. profesa ibrahim lipumba si jina geni miongoni mwetu, akiwa ni mmoja wa nguli wa siasa wa bongo. nenda http://www.bongocelebrity.com/ umfahamu zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. HONGERA SANA PROFESA. HUYU NI MMOJA KATI YA WASOMI WAZALENDO SANA WA KIAFRIKA.MICHU NINA OFA, TATOA ZAWADI KWA MTU ALIYE NA PICHA YA PROFESA AKIWA KAFUNGA MDOMO.WONDERFUL

    ReplyDelete
  2. mzushi tu huyu hana lolote....wamesetiwa tu hawa ili World Bank na IMF waone tuko serious na liberalisation in politics kufanikisha democracr hewa.......wapionzani wote wahuni tu,,,,bora hata hao mafisadi tunaowaona kuliko hawa kwani walisetiwa kwakuwa wanaqualify...

    ReplyDelete
  3. Minister hails Karume as courageous lawyer

    2007-12-04 09:40:53
    By Guardian Reporter


    A Government minister yesterday described advocate Fatma Karume as a bold and courageous lawyer daring enough to stare corruption in the face and call a spade a spade.


    The advocate recently hit newspaper headlines allegedly for threatening a principal resident magistrate at a Dar es Salaam court over the conduct of a pending case against her (Karume) client.

    Karume, daughter of Zanzibar President Amani Abeid Karume, is representing a client in a matrimonial case at the Kisutu Resident Magistrate`s Court.

    She made sensational news last week after a magistrate withdrew from the case, accusing the counsel of threatening her.

    Principal Resident Magistrate Addy Lyamuya said at the court that she would not continue to preside over the case because the advocate had threatened ``to deal with me accordingly``.

    Lyamuya was the third magistrate from the same court to withdraw from the case in similar circumstances.

    But the advocate has dismissed the magistrates� charges and described their withdrawal as a planned boycott that followed her charges that one of them had demanded a bribe from her client.

    The advocate added that the magistrates may have deliberately decided not to preside over her client`s case as a way of settling scores following her charges.

    The case has since been assigned to another magistrate, with the High Court still working on the saga.

    But in a dramatic turn of events, Minister of State Philip Marmo (President�s Office - Good Governance) yesterday openly supported advocate Fatma Karume over the saga.

    ``My view is that what advocate Karume did shows that there are aggressive Tanzanians with the courage to say no to corruption in the Judiciary and other areas,` said Marmo at a function in Dar es Salaam.

    The minister made the remarks at the presentation of a quarterly monitoring report of the National Anti-Corruption Strategy and Action Plans that named the Judiciary as one of the most corrupt public institutions in Tanzania.

    He said time had come for other Tanzanians to emulate the advocate and say no to corrupt officials wherever they may be, adding: �If people keep dead quiet or suffer silently, winning the war against corruption will remain a dream.�

    He appealed to members of the public to cultivate the culture of exposing and saying no to corrupt leaders and officials unfairly denying them access to essential services.

    �Saying no to corrupt elements the way advocate Karume has so courageously done will help our country tame corruption and related vices,� he said.

    SOURCE: Guardian

    ReplyDelete
  4. Mimi naona mnawaonea bure wapinzani, mkidai hawafai au hawajafanya lolote katika nchi hii! Mtajuaje kama hawafai ilihali hamjawapa nafasi ya kuonyesha nini wanataka kukifanya?
    Ili chama kionekane kinafaa inabidi kiingie madarakani, je chama gani cha upinzania hapa nchini kimewahi kuingia madarakani ili mkione kuwa kinafaa au laa.

    Tutabakia na porojo, siku zinaenda, waliowahi wanaendelea kuneemeka, nchi inatafunwa na wenye meno. Niwaambie ndugu zangu kama hakuna upinzani hakuna maendeleo. Angalieni Tanesco inavyofanya, kama kungekuwa na mpinzani wake unafikiri ingekuwaje? Angalieni TTCL, inavyofanya vitu vyake sasa, ni kwasababu kuna wapinzani...hii ni sawa na siasa, kama hakuna upinzani, viongozi hawawezi kuogopa, wanajua wataendelea kutawala daima dumu! Kama wanavyodai na kusema kidumu chama....na nyie hata kama hamtaki kutoa sauti lakini kichinichini mnasema....

    ReplyDelete
  5. Annon Dec 4: 4:43 nakufagilia kwa comments zako. Big up baba/mama!

    ReplyDelete
  6. Jamaa arudi ikufindisha tu ndio kazi ataiweza hizi siasa awaachie wanasiasa. kama alikosea kusoma uchumi basi arudi shule akasome sayansi ya politiki.

    ReplyDelete
  7. Ati Jamani, huyu si ndiye aliyekuwa mshauri mkuu wa maswala ya uchumi wakati wa utawala wa MWINYI!? Je, ushauri wake uliupelekea wapi uchumi wa Tanzania nyakati hizo? Sikuona lolote la maana. Sasa sijisikii kama ana upindazani wa kuleta geni lolote huyu. Mpinzani yeyote aliyetoka Serikali ya CCM hataleta geuzi lolote TZ, kwani Mtoto wa ... ni... Kimsingi wapinzani woote ndio walokuwa wa kwanza kusema "kidumu chama cha Mapinduzi- na wanyonge tunaitikia "kidumuuuu" sasa acha kiwadumalie Kikwelikweli!!!
    New generations are the only ones to bring a substantial change in my beloved TZ.

    ReplyDelete
  8. Ina maana porf ameamua kuwaacha wafuasi wake hasahasa waliokuwa wanaamini yeye ni mwana siasa shupavu? kama ni kweli kapata kazi ina maana alipokuwa TZ alikuwa kijiweni? au ni kweli mkeka aliokuwa anukaliia(CUF)umeliwa na panya? kuna yeyote anayeweza kuwa mwenyekiti au anasubiriwa arudi?

    ReplyDelete
  9. Huyo Prof. Lipumba alitunzwa kweli akiwa anasoma Stanford University, California USA. Hmmmm??? Walikuwa na agenda gani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...