Shikamoo Kaka Issa,

Niko Mwanza kwa muda,na juzi jioni nilipita mitaa ya jiji Mwanza na kukutana na tangazo la Kliniki ya Mapenzi Mtaa wa Bantu. Hii imakaaje?
Kazi njema na Afya njema
Ndimi njili mwakoba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 27, 2008

    hiyo erectile dysfunction itawasaidia sana wanaume!

    amina yusuf

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 28, 2008

    kaka michu,mijitu kama hii ningepewa ruhusa ya kuidhibiti naipelekea watu kama kumi kwa kila tatizo ili ayatatue akishindwa ni shaba tu,wameleta matatizo makubwa sana katika jamii.mauaji ya vikongwe,albino nk. ni matapeli wakubwa na mfano bora wa kuepukwa na jamii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...